Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

Mkisi nakumbuka 2013 siku amefika Ruvu kuangalia maendeleo ya mafunzo ya JKT Operation miaka 50 ya JKT Mbuge alimcharazia salutes kama zote. Taleta picha ikiwezekana muone ilivyokuwa.
Ila wanajeshi hawana wivu kama police, kila mwenye haki hupewa haki yake bila kinyongo
 
Pia kuoneana wivu ni tatizo la dunia ya tatu; kutumia muda wmingi kujadili cheo cha mtu mwingine ni mapungufu sana. Dunia iko hivyo siku zote; watu wote hamuwezi kupanda kwa pamoja.
 
Hio kutaja tu Russia na miaka aliyoingilia Jeshi pamoja na cheo chake tayari umesha disclose identity ya Dogo pamoja na yako sidhani kama umemtendea haki bwana mdogo kuja kumuaminika humu kiasi hicho.

Si rahisi kama unavyodhani.
 
Labda wasio mjua ,,madogo waliojenga ukuta ,chamwino,na ukonga walitumuliwa pale RTS mpaka huruma ilihali walipewa zawadi ya ajira na raisi kisa unfit ambao umetokana na kazi ngumu walizofanya

Hiyo issue iko nje ya mkuu wa kikosi, sidhani kama unapaswa kumlaumu, mtu akishakua unfit sidhani kama ataweza himili mikiki ya kozi.
 
Dogo namjua huyo tulijuwa naye Ruvu mjibu wa sheria misifa na show off. Hao kwao ziwa nyasa ni sawa na watindiga tu
 
Hii Sala yako iko vizuri
 
Heshimu wakubwa na wewe jamani, elimu isikufanye ur extra na usidharau mtu, nyani mzee kakwepa mishale mingi
 
Kwa comment hii nimeelewa kwa nini ameganda kwenye ukanali kama kanywa gundi
 
Kilichomsaidia Maj. Gen Mbuge ni kukomand miradi ambayo Jeshi la Kujenga Taifa iliachiwa chini yake kuanzia Ukuta Mererani akiwa Kanali, Nyumba za Magereza Ukonga na Ukuta Ikulu Chamwino Dodoma.
Col. Mkisi hajapitia promotion yeyote ya kijeshi zaidi ya majukumu ya rank yake tangia akiwa Jitegemee JKT High School na baadae kuwa CO wa Mafinga na ukuu wa wilaya which is obviously kwa cheo chake.
Mbuge ana bahati na upepo wa mkuu wa nchi
 
Basi Mkisi siyo Senior kwa Mbuge kama mleta mada alivyoonyesha! Mleta mada amekuwa anaonyesha kama vile Mbuge hajawahi kucommand unit yoyote kulinganisha na Mkisi, lakini kumbe hata Mkisi naye hajacommand unit yoyote. Nimeshangaa jinsi promotion ya Mbuge ilivyoongelewa sana; jamaa keshapaa hivyo. Na anaonekana anajua sana kutimiza majukumu anayokabidhiwa kwa ufanisi mkubwa sana, ni haki yake apate cheo hicho.
 
Mej. Gen Mbuge keshacommand 832kj Ruvu kabla ajapelekwa Oparesheni Mererani.
Wote washacommand vikosi. Cha msingi ni kujua tu leo unaweza ukawa senior kwangu kesho nikawa senior kwako, ni jambo la kawaida katika maswala ya kimedani.
 
Mej. Gen Mbuge keshacommand 832kj Ruvu kabla ajapelekwa Oparesheni Mererani.
Wote washacommand vikosi. Cha msingi ni kujua tu leo unaweza ukawa senior kwangu kesho nikawa senior kwako, ni jambo la kawaida katika maswala ya kimedani.
hilo ninalijua na ni kweli kabisa ndivyo ilivyo; hakuna haja ya kulalamika kwa nini Mbuge kapanda haraka
 
Wanakopa sana aisee mpaka wanaboa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…