Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mtu wangu wa karibu sana bossKwa uwekezaji upi ?
Ingawa officers nawakubali kwa ubunifu
Isije ikawa sababu ana gari mbili za kutembelea
Unajua kwamba General Mboma alipanda kutoka Major General kuwa General bila kupitia Lt General?
wakati huo hakukuwa na makanali wengi walikuwa wanahesabika. Major ndiyo ilikuwa kikomo kwa wengi; mmarufi walikuwa ni pamoja na Major Kyusa pamoja na Major Hashim Mbita wakati huo.HhahahahH
Na anaestaafu katika cheo cha kepteni kwa kweli CV yake mbovu
Ila kustaafu kanali au luteni kanali iko poa ni vyeo vya juu unakuwa unajivunia kabisa
Ebu zifafanue hizi akili...!Licha ya mapungufu Mkisi ana akili sana yule
Alilitafuta kumbe!! Amiri Jeshi anakupangiankazi una kataa!?jamaa alikataa udc akaomba kurudishwa makao makuu aendelee kuvaa kombati naona ndio sababu
Na vipi kuhusu TISS hapo inaangukia kwenye kundi lipi.
Je CDF akikutana na mkuu wa TISS ni nani atampigia salute mwenzake?
ooh hapo nimekupata vema sasa.kwani mkisikia salute mnawaza nini jaman[emoji53][emoji53],tiss ni taaisis moja wapo ya usalama nchini,kama TAKUKURU.
salute ni salam ya askari kwa askari,TISS sio jeshi kisheria ila ina wanajeshi humo,polisi,nk.hivyo basi anayepigiwa salute ni either kwa cheo cha kabla hajaenda tiss(mfano mkurugenzi wa sasa).si kwa cheo chake hapo TISS.
hivyo basi salute ya CDF kwenda kwa mkurugenzi itakuwa ni majibu ya kubaniwa mikono sababu ya cheo alichukuwa nacho mhusika awali,otherways kama hakuwahi kuwa askari hapo kabla,ni salam ya kawaida tu kupeana mikono.
ooh hapo nimekupata vema sasa.
Maana TISS ilikuwa inakuzwa mno kuliko kawaida kumbe ni taasisi tu kama zilivyo nyingine.
si ya kubeza,tunazungumzia possition yake katika hilo swala.mfano,wao mbali na kuwa wajumbe katika kamati ya ulinzi na usalama ni taasisi tu ya kushauri nini kifanyike katika maswala ya kiusalama simple like that.ila ndio wana imfluence katika kuspot nani anafaa kuwa CDF miaka 5 mbeleni,then mkuu anapelekewa kikaratasi 1,2,3,5 chagua mmoja hapo.
so ni wadogo lakini wako na kilo nyingi.
Hivi ni Mkisi huyu alikuwa pia miaka fulani mkuu wa shule sijui pale Mgulani miaka kuelekea 2010s hv au?Ameachishwa kazi aliwakoroga waha wakampa homa mfululizo aliandika barua kuacha ukuu wa wilaya ikaonekana hana nidhamu kilochofuata ndiyo hicho
Yeah ni huyoHivi ni Mkisi huyu alikuwa pia miaka fulani mkuu wa shule sijui pale Mgulani miaka kuelekea 2010s hv au?
Dogo nilikuwa naye intake moja jkt, anapenda sifa kiaina. Lkn pia anauelewa. Labada wamempiga zongo waHAYeah ni huyo
Kwa sifa pale ndiyo mahala pakeDogo nilikuwa naye intake moja jkt, anapenda sifa kiaina. Lkn pia anauelewa. Labada wamempiga zongo waHA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa sifa pale ndiyo mahala pake
Mambo yangekuwa vizuri angekuwa Major General[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hashim Mbita alikuja kupandishwa baada ya kustaafu au?wakati huo hakukuwa na makanali wengi walikuwa wanahesabika. Major ndiyo ilikuwa kikomo kwa wengi; mmarufi walikuwa ni pamoja na Major Kyusa pamoja na Major Hashim Mbita wakati huo.
Yeah ni kweli smart upstairYuko vizuri sana kichwani jamaa