Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

Unajua kwamba General Mboma alipanda kutoka Major General kuwa General bila kupitia Lt General?

..Ni kwasababu aliteuliwa kuwa CDF.

..na Major General Sayore alipewa rank ya Lt General na kuteuliwa CoS.

..miaka ya 90 kulikuwa na Lt General mmoja tu, ambaye pia alikuwa CoS.

..hata Ernest Mwita Kiaro aliruka toka Major General kwenda General na kuteuliwa kuwa CDF.
 
HhahahahH

Na anaestaafu katika cheo cha kepteni kwa kweli CV yake mbovu

Ila kustaafu kanali au luteni kanali iko poa ni vyeo vya juu unakuwa unajivunia kabisa
wakati huo hakukuwa na makanali wengi walikuwa wanahesabika. Major ndiyo ilikuwa kikomo kwa wengi; mmarufi walikuwa ni pamoja na Major Kyusa pamoja na Major Hashim Mbita wakati huo.
 
Na vipi kuhusu TISS hapo inaangukia kwenye kundi lipi.
Je CDF akikutana na mkuu wa TISS ni nani atampigia salute mwenzake?

kwani mkisikia salute mnawaza nini jaman[emoji53][emoji53],tiss ni taaisis moja wapo ya usalama nchini,kama TAKUKURU.

salute ni salam ya askari kwa askari,TISS sio jeshi kisheria ila ina wanajeshi humo,polisi,nk.hivyo basi anayepigiwa salute ni either kwa cheo cha kabla hajaenda tiss(mfano mkurugenzi wa sasa).si kwa cheo chake hapo TISS.

hivyo basi salute ya CDF kwenda kwa mkurugenzi itakuwa ni majibu ya kubaniwa mikono sababu ya cheo alichukuwa nacho mhusika awali,otherways kama hakuwahi kuwa askari hapo kabla,ni salam ya kawaida tu kupeana mikono.
 
ooh hapo nimekupata vema sasa.
Maana TISS ilikuwa inakuzwa mno kuliko kawaida kumbe ni taasisi tu kama zilivyo nyingine.
 
si ya kubeza,tunazungumzia possition yake katika hilo swala.mfano,wao mbali na kuwa wajumbe katika kamati ya ulinzi na usalama ni taasisi tu ya kushauri nini kifanyike katika maswala ya kiusalama simple like that.ila ndio wana imfluence katika kuspot nani anafaa kuwa CDF miaka 5 mbeleni,then mkuu anapelekewa kikaratasi 1,2,3,5 chagua mmoja hapo.

so ni wadogo lakini wako na kilo nyingi.
 
ooh vizur hapo nimekupata

Ameachishwa kazi aliwakoroga waha wakampa homa mfululizo aliandika barua kuacha ukuu wa wilaya ikaonekana hana nidhamu kilochofuata ndiyo hicho
Hivi ni Mkisi huyu alikuwa pia miaka fulani mkuu wa shule sijui pale Mgulani miaka kuelekea 2010s hv au?
 
wakati huo hakukuwa na makanali wengi walikuwa wanahesabika. Major ndiyo ilikuwa kikomo kwa wengi; mmarufi walikuwa ni pamoja na Major Kyusa pamoja na Major Hashim Mbita wakati huo.
Hashim Mbita alikuja kupandishwa baada ya kustaafu au?

Maana mazishi yake nilifuatilia amezikwa akiwa ni Brig Gen mstaafu
 
Back
Top Bottom