TANZIA Kanali Mstaafu, Edmund Mjengwa afariki dunia Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Mbunge wa Mbarali mstaafu,mkuu wa wilaya mstaafu Col Edmund Mjengwa ambaye ni baba mlezi wa Catherine Magige(Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Arusha) kafariki dunia Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma.

Kwa mujibu wa maggid, amesema kuwa Kanali Edmund Mjengwa ameugua kwa muda mrefu kabla ya mauti kumkuta.



 
Vyanzo vya vifo inaonekana kipindi hiki,havitajwi.Juzi nimekutana na magari ya JWTZ,yamebeba mwili na baadhi yao wamejihadhari kwa kuvaa barakoa.Sijajua kama ni huu ugonjwa wa kisasa zaidi,kwasababu wengi wetu hujibu kwakusema 'si kila kifo ni UVIKO'.
R.I.P.
Kadri siku zinavyosonga,nazidisha tahadhari.
 
Dah wagalatia huu ugonjwa unatuondoa sana aisee.

JESUS please help us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…