Ameoa mjukuu.Kanali Mstaafu Mika Metili, mwenye umri wa miaka 78 akiwa na mke wake mpya mwenye umri wa miaka 27 kwenye ndoa Yao iliyofungwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa ILBORU
Tofauti ya umri wao ni miaka 51. Nini maoni yako?!
View attachment 2079364
Wadada ambao hamjaolewa acheni wivu.Kanali Mstaafu Mika Metili, mwenye umri wa miaka 78 akiwa na mke wake mpya mwenye umri wa miaka 27 kwenye ndoa Yao iliyofungwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa ILBORU
Tofauti ya umri wao ni miaka 51. Nini maoni yako?!
View attachment 2079364
Ata mimi nimeshangaa aisee kama kweli ni27 mmiliki wa mwanzo aliitumia vibaya.mbona pisi inaonekna imeenda kilomita nyingi hivi.