Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Sisi vijana wa kati sijui tusimame wapi..Na wamama wanawinda Ben ten
Wazee wameamua kutafuta damu za moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi vijana wa kati sijui tusimame wapi..Na wamama wanawinda Ben ten
Vijana nao wameamua kupindua meza, kutafuta pesa hawataki wanatafuta majimama yenye pesa zao.Vijana watafute pesa, uzee mwisho Chalinze
Mtu hana KUVIMBA KWA TEZI DUME (benign prostatic hypertrophy).......Kanali Mstaafu Mika Metili, mwenye umri wa miaka 78 akiwa na mke wake mpya mwenye umri wa miaka 27 kwenye ndoa Yao iliyofungwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa ILBORU
Tofauti ya umri wao ni miaka 51. Nini maoni yako?!
View attachment 2079364
mapenzi ya kweli mwisho high school, above hapo ni transaction, smart lady kuweza for hitting the jackpotKanali mzima anashindwa kujua kuwa hapo wanamdanga? [emoji23]
Kwa huo umri anaweza hata Kula mzigo . Yaani tamaa hizi mbaya Sana . Na huyo binti ni kweli kampenda huyu MzeeKanali Mstaafu Mika Metili, mwenye umri wa miaka 78 akiwa na mke wake mpya mwenye umri wa miaka 27 kwenye ndoa Yao iliyofungwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa ILBORU
Tofauti ya umri wao ni miaka 51. Nini maoni yako?!
View attachment 2079364
Wanajeshi yale mazoezi wanayofanya yanawasaidia huwa wanakuwa fit. Kuna Bibi nilikutana nae ana 98 lakini anakwenda kanisani mwenyewe ingawa si mwendo mrefu sana lakini wenzake wengi wa 98 hawawezi. Aliniambia alikuwa mjeshi.Mtu hana KUVIMBA KWA TEZI DUME (benign prostatic hypertrophy).......
Mtu hatembei na fuko la "ndogo" (Urinary catheter)....
Kanali mstaafu Metili yuko fiti KALIKITI......
Babu kanifurahisha haswaa ,Mwenyezi Mungu ampe uhai mrefu na afya njema yeye na bibi yetu huyo aaaamin aaaamin aaaamin aaaamin🙏
#Metili Mtu Na Nusu
#Metili Hahitaji Vumbi La Kongo a.k.a Kasongo Mpango
Hakika.....👊Wanajeshi yale mazoezi wanayofanya yanawasaidia huwa wanakuwa fit. Kuna Bibi nilikutana nae ana 98 lakini anakwenda kanisani mwenyewe ingawa si mwendo mrefu sana lakini wenzake wengi wa 98 hawawezi. Aliniambia alikuwa mjeshi.
Hata ndoa za vijana wasiopishana parefu ....huko mbele tunaotangulia sana ni sisi wanaume.....Yaani hapo huyo mwanamke anajua atakayetangulia kuondoka Ni mzee...mzee makaratasi na urithi aweke sawa kuepusha mkanganyiko Kama wa mzee mengi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app