Kanali Mstaafu Meliti (78) afunga ndoa umri wa mke miaka 27

Safi kabisa yaani huku sasa ndio kustaafu...u achukua mbususu mbichi mbichi wajilia zako
 
Kama kwamependana sioni kama kuna shida hapo,mambo mengine watajuana wenyewe...
 
Kujitaftia kifo cha mapema tu. Kwa uzee huo kuoa kabinti na hapo si ajabu mzee ana watoto wakubwa wa kiume.

Wanae watatamaniana na mkewe coz wote damu zinachemka, watamla mama yao wa kambo. Na walivo wavivu siku hizi wataandaa njama ya kummaliza mzee wale maisha.

Namsikitikia kanali 😓
 
Huyu naye aliolewa na na Maganga wa kienyeji mwenye miaka 76. Akaishia kimya mama yake

 
Wanajeshi yale mazoezi wanayofanya yanawasaidia huwa wanakuwa fit. Kuna Bibi nilikutana nae ana 98 lakini anakwenda kanisani mwenyewe ingawa si mwendo mrefu sana lakini wenzake wengi wa 98 hawawezi. Aliniambia alikuwa mjeshi.
Wanajeshi wengi wa zamani Ni wakakamavu Sana ..check wakuu wanajeshi wote wastaafu wapo wazima msuguri, mboma, sarakikya...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ubishi juu ya umri wa mtu wa nini? Kwani kuna kombe linatolewa kwa kuwa na miaka 27 ambalo anajaribu kupata? Kama kasema yuko 27, basi ndio hivyo. Kuna watu tumepata mvi in our 30s. Sasa wewe utasema huyu hawezi kuwa 35 kwa vile ana mvi, eti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…