Kanali Mstaafu Meliti (78) afunga ndoa umri wa mke miaka 27

Hongera kwake kwa kuwaolea vijana! Then asiwe ana presha na kisukari maana hata mzigo atakuwa ndio hawezi kugonga na akisikia vijana wanamgongea mshtuko wake ndio kifo chake!!
Hongera kwake!
 
HAkuna shida,
Kama mke wa kwanza alishafariki,au waliishatarikiana,hapo ni kuvuta toto mbichi,unapiga vitu,unapata watoto,
Kama una miaka 78,pesa ipo,huna mke,kwanini usijivutie kigori bikra ukaweka ndani?wenye wivu wajinyonge
 
Una connection ya huyo Dada??..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
HAkuna shida,
Kama mke wa kwanza alishafariki,au waliishatarikiana,hapo ni kuvuta toto mbichi,unapiga vitu,unapata watoto,
Kama una miaka 78,pesa ipo,huna mke,kwanini usijivutie kigori bikra ukaweka ndani?wenye wivu wajinyonge
Kabisa
 
Huyu mstaafu bado anamiliki silaha au amerudisha?
Tusisubiri yatokee yakutokea ndy tuchukuwe hatua.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Vijana tutafte pesa
 
Huyo dada anafanana sana na wale watu wa fursa wa kule mbele ya tanga. Hebu tusubiri tuone kitatokea nini kwene hii combo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…