Kanali Mstaafu Meliti (78) afunga ndoa umri wa mke miaka 27

NDIO KANALI, KANALI MBABE. ILA KWA UMRI HUO MADUNGU YAKO TEKETEKE KWA SBB YA MAGONJWA YA UZEENI.
KWAMBA LILE GWARIDE LA MGUU PANDE MGUU SAWA, MBELE SOGEA NYUMA PINDUKA, HAZIFANYIKI KIBABE

DAWA YA NJAA NI KULA, DADA LAZIMA ALIWE ILI ASHIBE
 
Ana ujasiri wa kijeshi.
 
Maisha yanahitaji busara sana; hapo alitakiwa atafute mjane au single mama ambaye umri wao ungeendana
 
Acheni kulaumu bana huyo dada kafata upendo watu wazima wengi hujua kujali na ku care kwahyo mahusiano yanakuwa murua with less conflict
Mzee kafiwa na mke mda sio mrefu,istoshe dada umri kajaza na mtoto wamezaa,sasa sijui wale vijana siku mzee akifariki watamuua...hiyo hotel bila mama yao ilishakufa mda mama alikua mpambanaji
 
Kanali tutasikia kafia juu ya kifua cha huyo binti
 
Sasa ngoja afanye mama wa umri huo watapiga kelele hapa kila.mtu
 
Gari bovu linavitwa na gari Zima, na si vinginevyo.
 
And if he is going for viagra as a power bank he will accelerate his days.
Yeah, and that girl will make sure the fool lives as short a time as possible, achote mafao atafute vijana wa kula nao, Suckers will never end, that colonel is been taken for a ride!
 
Muda si muda tutasikia Kanali hatunaye tena.

Una uzito wa kilo 800 kisha unapandisha kilimanjaro huku unakimbia. Lazima ziraili akuweke kwenye dodoso lake la uyekekezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…