Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Labda na mmewe anaishi ikulu pia.Lzm atakuwa anapewa muda wa kwenda kuchakatwa tu kuanza ukiwa adc wa rais Ni muda wote unakuwa nae au Kuna saa uko free kwenda kuchakatwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda na mmewe anaishi ikulu pia.Lzm atakuwa anapewa muda wa kwenda kuchakatwa tu kuanza ukiwa adc wa rais Ni muda wote unakuwa nae au Kuna saa uko free kwenda kuchakatwa
Watutsi wa Kagame hahahaKama bado yuko single, hapa Mama lazima atapata mkwe muda siyo mrefu. Mama na mwana wote wako very smart, halafu wote sura kama watutsi au wasukuma wa kijijini kwetu. Hongera zao!
Kanda ya Ziwa, Mwanza, Musoma asili yao ni Congo. Kwa mfano, ancestors wetu sisi inasemekana walishuka kutoka Congo wakaja hadi Ankole, Uganda. Walivyotoka ankole ndiyo wakashuka kuja usukumani Mwanza and here I'mWatutsi wa Kagame hahaha
Sikupingi mkuu kwasababu kila mmoja anaweza kuja na hoja yake kuhusu chimbuko la jamii fulani.Kanda ya Ziwa, Mwanza, Musoma asili yao ni Congo. Kwa mfano, ancestors wetu sisi inasemekana walishuka kutoka Congo wakaja hadi Ankole, Uganda. Walivyotoka ankole ndiyo wakashuka kuja usukumani Mwanza and here I'm
Kama bado yuko single, hapa Mama lazima atapata mkwe muda siyo mrefu. Mama na mwana wote wako very smart, halafu wote sura kama watutsi au wasukuma wa kijijini kwetu. Hongera zao!
Itifaki imezingatiwaKumbe nae anavaa kiremba
Sio msukuma huyo?
Sijui, labda kuanzia 32? Au?Huyu dada ni kanali, unafikiri ili ufikie ukanali unatakiwa uwe una miaka isiyopungua mingapi?
Hamna kanali mwenye 32 huo ni umri wa kuwa luteni usu, luteni na ukijitahidi sana basi captainSijui, labda kuanzia 32? Au?
Ni kama nataka kukubaliana nawe mkuu.. .Hamna kanali mwenye 32 huo ni umri wa kuwa luteni usu na ukijitahidi sana basi captain
Sure jamaa anajikuta mjuaji sana ...eti protokali ... Protokali anaijua? Umemjibu vizuri sanaView attachment 2127271
Punguza ujuaji
Au sioMjita huyo mkuu
Hukuna luteni usu mwenye umri chini ya huo?Hamna kanali mwenye 32 huo ni umri wa kuwa luteni usu, luteni na ukijitahidi sana basi captain
Hukuna luteni usu mwenye umri chini ya huo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi anapata mda saa ngapi wa kujiunga cha chuo na mmewe
Kama hauzijuiKanda ya Ziwa, Mwanza, Musoma asili yao ni Congo. Kwa mfano, ancestors wetu sisi inasemekana walishuka kutoka Congo wakaja hadi Ankole, Uganda. Walivyotoka ankole ndiyo wakashuka kuja usukumani Mwanza and here I'm
Taarifa zangu siyo za kitafiti, ni za kuelezwa kwa mdomo na watu. Wewe ukinieleza kitu hapa kwa ufasaha nitakikubali kwa moyo mmojaKama hauzijui
Hamitic
And
Luo/nilothic theories acha kudanganya watu
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hujui kitu mkuu, acha hayo mambo!sijui imekaaje ila atakuwa amekosea sana kiprotocali kuwa in public na CiC akiwa amevaa kiraia
wew ndio hujui kitu huyo mtu anataiwa mara zote akiwa public na rais anatakiwa avae kijeshi acha kutetea makosaHujui kitu mkuu, acha hayo mambo!
Haa! kwani jiwe bado lipo?View attachment 2127271
Punguza ujuaji