luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Hahaha absolutely trueMtani usiteseke sana.... Kwa huko nje ya nchi wanajua tu Tanzania kuna Wachaga na Wamasai.... Tunawabeba hata nchi kama nchi.
Ukifika Finland au Ufaransa ukisema umetoka Tanzania utaulizwa Mchaga? Hamna mtu anamjua Mfipa au Myao au sijui Mnyantunzu au Mbarbeig huko Ulaya.
Sijataja Waha maana wataanza ubishi hapa