luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Hahaha absolutely trueMtani usiteseke sana.... Kwa huko nje ya nchi wanajua tu Tanzania kuna Wachaga na Wamasai.... Tunawabeba hata nchi kama nchi.
Ukifika Finland au Ufaransa ukisema umetoka Tanzania utaulizwa Mchaga? Hamna mtu anamjua Mfipa au Myao au sijui Mnyantunzu au Mbarbeig huko Ulaya.
Sijataja Waha maana wataanza ubishi hapa
Chasaka maana yake ni mtu wa Porini yaani mtu wa kuja hata kama umetokea Dar umeenda Uru huko.'Chasaka' sijaelewa maana yake boss.
SEMA umeongea kibaguzi sana wew mnyama-anga wa kichaga.[emoji23]Huwezi kuwa proud kwa kuwa huna sifa za kuwa mchaga. Kuzaliwa Moshi au kama mama yako aliolewa Moshi akiwa ameshakuzaa na mwanaume mwingine hakuna namna unaweza kuwa Mchaga... Wewe ni Chasaka..
Kusema kweli mimi ni mbaguzi sana hasa linapokuja suala la mtu mvivu na mpumbavu asiyejituma na mtu mwenye wivu kama wewe.Ni wabaguzi hawakuwafanyi kuwa special mfano wewe unatabia za kibaguzi hakukufanyi kuwa special, ubaguzi ni ujinga ndo maana kila Mahalia unapigwa vita mfano uko kwenye mikoa mingine mngekua mnatreatiwa vibaya kama mnavyotreat watu ambao sio wachaga Ila wamezaliwa na kukulia Moshi unafikiri ingekuaje na hii ndo sababu Nyerere aliwadis ni wabinafsi sana yule Babu aliona mbali sana kuhusu wachaga na hakukosea
Kwa hiyo nyie kuita wengine hivyo sio ubaguzi bali wachaga ndio wabaguzi?SEMA umeongea kibaguzi sana wew mnyama-anga wa kichaga.[emoji23]
Sisi wahaya watu wa makabila mengine tunawaita WANYAMA-ANGA..
So utajisiaje nikikuita hivyo
Mwambie awaulize hao kina Minja au msuya wanapokwenda kwao wanasema kwanini wanakwenda moshi badala ya kusema mwanga au same anakwendaIshu ni kwamba hata hao kina Mvungi, Msuya, Sabuni, Minja, Mjema, Mnzava na wengine huona fahari sana kutambuliwa kama Wachaga. Wachaga ndio wamefanya kukaonekana kuko "blessed"
Wengi wanapakataa kwaoBoss unachosema ni kwamba kanda ya kaskazini ni maarufu sababu ya wachaga?
Serengeti, manyara, tarangire, milima ya upareni, mbulumbulu, masai mara, ngorongoro, mapango ya tanga n.k ni maarufu sababu ya uwepo wa wachaga? Kama ndicho ulichomaanisha ww ni mpotoshaji.
Hivi unanijua mpaka unaniita mvivu, nilishakuomba msaada ili kuprove mim ni mvivu jibu ni hapana unijuiKusema kweli mimi ni mbaguzi sana hasa linapokuja suala la mtu mvivu na mpumbavu asiyejituma na mtu mwenye wivu kama wewe.
Hebu sema hapa hadharani wachaga huwa wanabagua watu kwenye masuala gani? Hawa dada zako walioolewa Moshi wanabaguliwa? Au ulitaka na wewe uolewe ili uone umetendewa sawa?
Hivi ulishawahi kukutana na mmasai akakuambia kwao ni uchaganiWengi wanapakataa kwao
Moshi Kuna makabila mengi ambao wamezaliwa na wazazi wao Wana mashamba, Kuna wapare, wasambaa wanyaturu, wamasai wengi tu wamezaliwa na kukulia Moshi na wazazi wao wanaishi Moshi mtu kama huyo akenda Moshi unataka aseme anaenda wapiMwambie awaulize hao kina Minja au msuya wanapokwenda kwao wanasema kwanini wanakwenda moshi badala ya kusema mwanga au same anakwenda