💐💐💐🌻💐💐🌻🌻🌻🌻💐💐💐🌻🌻🌻💐💐💐💐💐💐💐💐💐Mzalendo, ndiye mwenye uchungu na nchi hii, aungwe mkono aivushe nchi
HakikaWatanzania wana KIU ya HAKI.
Wataumia sanaWale virusi wa m pox na covid19 wakiona hizi picha mioyo yaa inakata tamaa, ongeza na ccm
😅😅wanawashushia mita 500 kutoka eneo la tukioCCM wangewasomba kwa malori na kuyaficha
500? 80 mazee😅😅wanawashushia mita 500 kutoka eneo la tukio
Kanda ya ziwa itazamaTundu lisundo mkombozi wa nchi hii.AJE NA KANDA YA ZIWA NCHI ITASIMAMA