Tetesi: Kanda ya Serengeti: Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw Emmanuel Ntobi kufukuzwa Uanachama wakati wowote kuanzia sasa

Vijana na Viongozi wengi sana wa Chadema kwa sasa wana IQ &EQ ndogo sana
 
Walio karibu na Mbowe tafadhali mshaurini mhe huyu ajiondoe kwenye kinyangg'anyiro ili kulinda heshima yake na kukinusuru chama.
Wewe sio mpiga kura! Kula mwaka mpya,utulie mkuu.
 
Sura Jambazi kabisa hii
 
Machawa wa Mbowe hatuguswi na mtu yoyote na hatuogopi kitu chochote.
 
Hizo ni tetesi na haiwezi kutoka,kama ni kweli dhihirisheni maana hakuna kuogopa. Huwezi kumfuta mtu uanachama Kwa kuwa alitoa maoni yake.
 
Duh πŸ™„ ujui usemalo.
 
Usijekuta wanatengeneza mazingira ya kuja kumtuhumu na Lissu ili nae wamfukuze uanachama.

Mbowe na watu wake sio wa kuwaamini sana.

Tofauti na hapo, basi utakuwa ni uamuzi wa busara.
 
hata lisu nae ajiangalie anaweza kufukuzwa tu. kwani yeye nani !! hadi amdhalilishe mwenyekiti kiasi hicho?

hahahahahahahahahahahahahahahaha.....
Mbowe na chadema yako.hatari sana...!!
Kaka umeona kwa mbaliiiiiiiiii kuna kitu kipo nyuma yake.
 
Kwenye siasa hatusemi kafukuzwa tunasema katenguliwa wadhifa wake.
 
Next ni mbowe, akishindwa kutaja matusi ambayo anadai Lissu kamtukana, haaa
 
Cha ajabu waporipori na walugaluga wa mitandaoni ndio wanamshabikia lissu...
Huku city centre wanakoishi wajumbe wa kamati kuu, kumepoa kama hakuna uchaguzi....
 
Tayari kashapigwa chini 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…