Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sio mpiga kura! Kula mwaka mpya,utulie mkuu.Walio karibu na Mbowe tafadhali mshaurini mhe huyu ajiondoe kwenye kinyangg'anyiro ili kulinda heshima yake na kukinusuru chama.
Haya sawa mkuu.Wewe sio mpiga kura! Kula mwaka mpya,utulie mkuu.
Yaani hata wakati boni yai kamkaba lissu kwa kuonyesha Nia lissu hakupanikiLissu hatukani mtu kabisa
Sura Jambazi kabisa hiiTaarifa zinasema tayari ameshapewa barua ya Show cause ya kwanini asifutwe uongozi na Uanachama kwa kosa la kutukana na kukashifu Viongozi wake kwenye Mitandao ya Kijamii akiwemo Mhe Tundu Lissu na John Heche,
Taarifa zinasema Ntobi anakabiliwa na kosa la ukosefu wa nidhamu kesi ambayo iliwahi kumfutia uongozi msimu uliopita lakini Rafiki yake Mbowe alimrejeshea uongozi kupitia Kamati kuu,
Pia soma Tetesi: - Huenda Wakati wowote kuanzia Sasa Boniface Jaco, Yericko Nyerere na Emmanuel Ntobi wakavuliwa uongozi na kufukuzwa Uanachama
View attachment 3187846
Machawa wa Mbowe hatuguswi na mtu yoyote na hatuogopi kitu chochote.Taarifa zinasema tayari ameshapewa barua ya Show cause ya kwanini asifutwe uongozi na Uanachama kwa kosa la kutukana na kukashifu Viongozi wake kwenye Mitandao ya Kijamii akiwemo Mhe Tundu Lissu na John Heche,
Taarifa zinasema Ntobi anakabiliwa na kosa la ukosefu wa nidhamu kesi ambayo iliwahi kumfutia uongozi msimu uliopita lakini Rafiki yake Mbowe alimrejeshea uongozi kupitia Kamati kuu,
Pia soma Tetesi: - Huenda Wakati wowote kuanzia Sasa Boniface Jaco, Yericko Nyerere na Emmanuel Ntobi wakavuliwa uongozi na kufukuzwa Uanachama
View attachment 3187846
Lakini wameuona moto wa Watanzania ulivyo mkali.Hawa ndo walijiunga kikundi na kumdanganya mbowe kwamba Bado anakubali la, kumbe ni uwongo
Kujiita chawa ni umamaMachawa wa Mbowe hatuguswi na mtu yoyote na hatuogopi kitu chochote.
Inaonekana wewe na mtoa post "mmejoin" haraka ili kukamilisha mikakati ya Lissu, lakini amini nawaambia, tangu siku ile Mbowe ametangaza atagombea, aliishashinda! Ndio maana yupo kimya anawadekshia tu!Naona Mbowe anakwenda kupoteza mtu muhimu sana 😆😆
Hizo ni tetesi na haiwezi kutoka,kama ni kweli dhihirisheni maana hakuna kuogopa. Huwezi kumfuta mtu uanachama Kwa kuwa alitoa maoni yake.Taarifa zinasema tayari ameshapewa barua ya Show cause ya kwanini asifutwe uongozi na Uanachama kwa kosa la kutukana na kukashifu Viongozi wake kwenye Mitandao ya Kijamii akiwemo Mhe Tundu Lissu na John Heche,
Taarifa zinasema Ntobi anakabiliwa na kosa la ukosefu wa nidhamu kesi ambayo iliwahi kumfutia uongozi msimu uliopita lakini Rafiki yake Mbowe alimrejeshea uongozi kupitia Kamati kuu,
Pia soma Tetesi: - Huenda Wakati wowote kuanzia Sasa Boniface Jaco, Yericko Nyerere na Emmanuel Ntobi wakavuliwa uongozi na kufukuzwa Uanachama
View attachment 3187846
Duh 🙄 ujui usemalo.Na sijui ni kwanini Mwenyekiti aliingia kwenye mtego wao, Mbowe amechokwa na Wananchi wa Tanzania ambao ndio wapigakura wa Uchaguzi Mkuu, japo kura zinaibiwa na CCM lakini pia Mbowe ameshindwa kuzuia wizi wa kura unaofanywa na CCM tunaamini Lissu na siasa anazozifanya zitaifanya CCM na Serikali yake kuwekewa VIKWAZO VYA KIMATAIFA.
Si useme wewe ni nini kinachokuzuia?Duh 🙄 ujui usemalo.
Kaka umeona kwa mbaliiiiiiiiii kuna kitu kipo nyuma yake.hata lisu nae ajiangalie anaweza kufukuzwa tu. kwani yeye nani !! hadi amdhalilishe mwenyekiti kiasi hicho?
hahahahahahahahahahahahahahahaha.....
Mbowe na chadema yako.hatari sana...!!
Sema Mbowe anaenda kupoteza chawa muhimu sana.Naona Mbowe anakwenda kupoteza mtu muhimu sana 😆😆
Shida TUPU aiseeSi useme wewe ni nini kinachokuzuia?
Next ni mbowe, akishindwa kutaja matusi ambayo anadai Lissu kamtukana, haaaTaarifa zinasema tayari ameshapewa barua ya Show cause ya kwanini asifutwe uongozi na Uanachama kwa kosa la kutukana na kukashifu Viongozi wake kwenye Mitandao ya Kijamii akiwemo Mhe Tundu Lissu na John Heche,
Taarifa zinasema Ntobi anakabiliwa na kosa la ukosefu wa nidhamu kesi ambayo iliwahi kumfutia uongozi msimu uliopita lakini Rafiki yake Mbowe alimrejeshea uongozi kupitia Kamati kuu,
Pia soma Tetesi: - Huenda Wakati wowote kuanzia Sasa Boniface Jaco, Yericko Nyerere na Emmanuel Ntobi wakavuliwa uongozi na kufukuzwa Uanachama
View attachment 3187846
Tayari kashapigwa chini 🤣 🤣 🤣Taarifa zinasema tayari ameshapewa barua ya Show cause ya kwanini asifutwe uongozi na Uanachama kwa kosa la kutukana na kukashifu Viongozi wake kwenye Mitandao ya Kijamii akiwemo Mhe Tundu Lissu na John Heche,