Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Jamanii muda si mrefu tumepitiwa na tetemeko la ardhi hapa Ushirombo
Ni tetemeko Dogo limedumu kwa sekunde kadhaa
Tuwaombee wenzetu wa Bukoba/Kagera na Chato.
Tetemeko dakika moja mkuu?? Si nyumba zote zitakuwa chini? La ukubwa gani?
Kanda ya ziwa matetemeko hupita kila mara tangu enzi na enzi mkuu. Hivyo amezaliwa kwenye matetemeko!
Geita hyo chini ni mshimo makubwa,