Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,366
Chini ya Bomani kiongozi wangu.Unakaa Boman 🙉,, hiyo Geita chini ni mashimo tu, hapo ni kutafuta pesa tu,, maji ya mvua si unaona yalivokuwa na kutu? Hata ya bombani tu si umeona yalivo?
Maji ya mvua kwa Geita hata Kahama si mazuri hayatakiwi kutumika kabisa ndio mana Geita Amoeba ni nje nje.
Maji yanatoka ziwa Victoria liko mgodi wa GGM yanapelekwa mpaka Katoma pale kuna matanki na si unajua kule ni mlimani kwa hiyo yanaserereka tu kwenda mitaani ng'wana ng'wise