Kanda ya Ziwa: Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 kwa vipimo vya Richa latikisa

Kanda ya Ziwa: Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 kwa vipimo vya Richa latikisa

Inanikumbusha hadithi ya Yona kwenye biblia...rudi huku kwenye kazi uliyotumwa😃
 
Linamfuta huko huko alipojificha kwa uwoga wa CORONA,kweli Mungu ana maguvu makubwa sana
 
Wewewewe....
Usimuombee mukulu dua mbaya
Si unajua siku hizi Muzee yuko huko kapumuzika
Duh! tena munamletea Muzee matetemeko ,sasa munadhani akimbilie wapi jameni?
labda akajichimbie kule Mtwara kwa Mzee Majaliwa,
Duh hiki kiswahili! Mkuu pale Burundi unatokea mkoa gani?
 
Jumatano usiku nilisikia tetemeko usiku wa saa nane hivi ila lilikuwa dogo sana,lilidumu kama sekunde 10 likapotea
 
kuna tatizo kuwa kanda ya ziwa au unataka wote tutoke Ileje Mbeya? Vp Lissu bado mgombea wetu 2020
Nilikuwa najiuliza kisa cha kutoka mapovu kwenye kila uzi unaomhusu magufuli , kumbe ni wa nyumbani !
 
Kwa hiyo sisi hatuna watu wa ku report mpaka wamarekani wakiwa kwao watujulishe mambo yanayotendeka nyumbani kwetu?

Basi watuambie na wasiojulikana ni akina nani.
 
Wataalamu wetu wanasemaje?

Nimeona watoa mada reference zao ni USGS (United States Geological Survey) tu, je Department ya Geology pale Dodoma (TGS Tanzania Geological Survey) hawakutoa warning kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa? Or they didn't see this coming, kama sisi tu.
kutoka google
Can you tell when a earthquake is coming? No, and it is unlikely they will ever be able to predict them. Scientists have tried many different ways of predicting earthquakes, but none have been successful.

On any particular fault, scientists know there will be another earthquake sometime in the future, but they have no way of telling when it will happen.
 
Bomani kuna mashimo wapi?
Au unazungumzia Katoma?
Unakaa Boman 🙉,, hiyo Geita chini ni mashimo tu, hapo ni kutafuta pesa tu,, maji ya mvua si unaona yalivokuwa na kutu? Hata ya bombani tu si umeona yalivo?
 
Back
Top Bottom