Kanda ya Ziwa: Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 kwa vipimo vya Richa latikisa

Kanda ya Ziwa: Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 kwa vipimo vya Richa latikisa

Nimelishuhudia tetemeko hili muda huo nilioutaja nikiwa Katika Wilaya ya Mbogwe ( Masumbwe) na mpaka muda huu mbwa wanaweza kuashiria tukio hilo.
Kama umelisikia na wewe kutoka popote pale tujaribu kupeana uzoefu.
Niko Mkolani, Mkoani Mwanza, tetemeko limepita kweli, limetumia kama sekunde 5-10 hivi
 
Na hayo mawe kwenye hiyo milima ya mwanza hivi watu wamepona kweli
 
Tetemeko LA Ardhi lenye vipimo vya Ritcher vya wastani limepita maeneo ya Geita na kusikika mikoa jirani kama Mwanza.

Madhara yake hayajajulikana
 
.
Screenshot_20200425-003521_Samsung%20Internet.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom