Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Limepiga Masumbwe Geita la 4.5 siyo kubwa sana hilo angalia hapa 4.5 magnitude earthquake near Masumbwe, Geita, Tanzania and Kigali, Rwanda : April 24, 2020 21:07Mwanza limetikisa si chini ya 50secs nyumba imeshake nkajua tayari zimefika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo si pua na mdomo
Kitakuwa limepitaHapo si pua na mdomo
Sio kweli na wala ziwa victoria haliko kwenye bonde la ufaKanda ya ziwa matetemeko hupita kila mara tangu enzi na enzi mkuu. Hivyo amezaliwa kwenye matetemeko!
Tusubiri kupambazukeTetemeko hili ni tetetemeko jepesi/ light earth quake kutokana na ukubwa wake wa 4.5.
Tetemeko lenye ukubwa wa 4.0 -4.9 kwenye kizio cha ritcher scale hutambuliwa na baadhi ya wataalamu kuwa ni tetemeko jepesi.
Wataalamu wengine wanaona kuwa tetemeko linalozidi kiwango cha 4.5 kuwa tetemeko kubwa.
Acha ubishi ingia hapa utaona hili ni LA pili kwa wiki hiiSio kweli na wala ziwa victoria haliko kwenye bonde la ufa
Ni la kawaida tu mkuu ni la pili kwa wiki hii angali hapa chiniDaah! Tanzania nchi yangu
Nami niko Buhongwa Mwanza nimelisikia na usingizi umeishia hapo[emoji119]Niko Mkolani, Mkoani Mwanza, tetemeko limepita kweli, limetumia kama sekunde 5-10 hivi
Poleni SanaNiko Mkolani, Mkoani Mwanza, tetemeko limepita kweli, limetumia kama sekunde 5-10 hivi
Duuh wabongo noma