Kanda ya Ziwa: Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 kwa vipimo vya Richa latikisa

Kanda ya Ziwa: Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 kwa vipimo vya Richa latikisa

Nimelishuhudia tetemeko hili muda huo nilioutaja nikiwa Katika Wilaya ya Mbogwe ( Masumbwe) na mpaka muda huu mbwa wanabweka kuashiria tukio hilo.
Kama umelisikia na wewe kutoka popote pale tujaribu kupeana uzoefu.

Kwa majibu wa US Geological Survey tetemeko hili linaonekana kuwa na kiwango cha 4.5 na limeyokea saa 00:07 kilometa 47 kutokea Nyangwale kutoka hapa nilipo.

Hiyo 4.5 umeipataje mkuu, tufundishe namna ya kufanya hiyo hesabu
 
Hawajasema uelekeo wake?
Nimelishuhudia tetemeko hili muda huo nilioutaja nikiwa Katika Wilaya ya Mbogwe ( Masumbwe) na mpaka muda huu mbwa wanabweka kuashiria tukio hilo.
Kama umelisikia na wewe kutoka popote pale tujaribu kupeana uzoefu.

Kwa majibu wa US Geological Survey tetemeko hili linaonekana kuwa na kiwango cha 4.5 na limeyokea saa 00:07 kilometa 47 kutokea Nyangwale kutoka hapa nilipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataalamu wetu wanasemaje?

Nimeona watoa mada reference zao ni USGS (United States Geological Survey) tu, je Department ya Geology pale Dodoma (TGS Tanzania Geological Survey) hawakutoa warning kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa? Or they didn't see this coming, kama sisi tu.
Ripoti yao litasema liikuwa liwe la 6.02 lakini kutokana na juhudi basi limepungua kasi wenyewe hasa baada ya tetemeko kujuwa yuko maeneo hayo!
 
Niko moro hapa bado halijapita ngoja tuendelee kusubiri
 
Back
Top Bottom