Kanda ya Ziwa: Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 kwa vipimo vya Richa latikisa

Kanda ya Ziwa: Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 kwa vipimo vya Richa latikisa

geita limepita saa 4,ila comment za watu humu zinanichanganya namna wanavyoripoti,kwa namna lilivyopita lilionekana kutokea ziwa vikitoria kuelekea kahama,bila shaka huko kigali limepita kutokea tanzania.
 
Wataalamu wetu wanasemaje?

Nimeona watoa mada reference zao ni USGS (United States Geological Survey) tu, je Department ya Geology pale Dodoma (TGS Tanzania Geological Survey) hawakutoa warning kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa? Or they didn't see this coming, kama sisi tu.
 
Nadhani TISS na PolePole watatupa majibu sahihi zaidi na ya kitaalamu, hivyo tuendelee kuwa na subira. Nina uhakika TISS watakuwa waliliona mapema kabla halijafika Mwanza.
 
Back
Top Bottom