Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kandida inapunguza hamu ya tendo la ndoa
Jamani wanawake au wanaume tuwemakini na haraka kwenda hospitali tunapohisi unadalili za UTI kwa sababu UTI ikiwa sugu usababisha fagasi kandida ambao baadae uleta shida ya kutopata hamu ya tendo la ndoa