Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kwahiyo katudanganya mwanzo mwisho?Candida ni fungus na siyo bacteria kama ulivyo dai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo katudanganya mwanzo mwisho?Candida ni fungus na siyo bacteria kama ulivyo dai.
Naam. Ajaribu ku search oral/ vaginal candidiasis.Kwahiyo katudanganya mwanzo mwisho?
WasabatoWaislam wamefunga na wakristo wamefunga, Sasa hawa ambao hawajafunga ni akina nani?
Kalinda ni hatariiii SanaBacteria gani mwenye jina la kienyeji?
Amefunga kamba au madirisha?Na mfungo wote huu jamani mnahitaji hamu tu. Yaani saa hizi kila mtu anatakiwa awe amefunga.
Awe amefunga kula-naAmefunga kamba au madirisha?
DR Mambo JamboKandida inapunguza hamu ya tendo la ndoa
Jamani wanawake au wanaume tuwemakini na haraka kwenda hospitali tunapohisi unadalili za UTI kwa sababu UTI ikiwa sugu usababisha fagasi kandida ambao baadae uleta shida ya kutopata hamu ya tendo la ndoa
Ni kweli ila Mara nyingi ni kwa mwanamke
HahahaaKaka futa hii itakuletea matatizo
hapa shule haipo...ni bacteria anaesababisha fangus mwilin...mmmmh RIP ...biologyNi bacteria anae sababisha fangasi mwilini
Wewe shule ingekuwa imekusaidia usingekuwa unaishi bongo mukubwahapa shule haipo...ni bacteria anaesababisha fangus mwilin...mmmmh RIP ...biology
ni fangasi kwenye ukeKandida ndio nini elezea zaidi.
Ok hiyo n yao wanawakeni fangasi kwenye uke
Marasta 🤣Waislam wamefunga na wakristo wamefunga, Sasa hawa ambao hawajafunga ni akina nani?