Kandida inapunguza hamu ya tendo la ndoa

Kandida inapunguza hamu ya tendo la ndoa

Mtoa maada umekosea rekebisha hapo.

Candida( candidiasis) fungal infection

UTI ni broad (elephant [emoji208] term) to generalise any kind of infection kwenye njia au mfumo wa mkojo ambayo inaweza kuwa ni fungus au bacteria etc

Umeshauri vyema watu waende hospital... pia wamalize dose.
UTI haiambukizwi kwa sex
 
Kandida inapunguza hamu ya tendo la ndoa
Jamani wanawake au wanaume tuwemakini na haraka kwenda hospitali tunapohisi unadalili za UTI kwa sababu UTI ikiwa sugu usababisha bacteria wa kandida ambao baadae uleta shida ya kutopata hamu ya tendo la ndoa
Candidiasis is a fungal infection caused by a yeast (a type of fungus) called Candida
 
Dawa yake ni nini,maana wananisumbua hao mapajani nimepaka dawa wapi.
candida haikai Mapajani chief..
95% ya.Candida wana sababisha madhara Kwenye Mucous Membrane na Always Oral (Kinywa) na Vaginal..

So Kuna Vaginal Candidiasis na Oral Candidiasis..kwa 98%..

Na Cutaneous candidiasis ni Very Rare sana saba kwa Tanzania kati ya watu Milion moja utapata mmoja..
 
Kandida inapunguza hamu ya tendo la ndoa
Jamani wanawake au wanaume tuwemakini na haraka kwenda hospitali tunapohisi unadalili za UTI kwa sababu UTI ikiwa sugu usababisha bacteria wa kandida ambao baadae uleta shida ya kutopata hamu ya tendo la ndoa
Duuh aisee tang Lin fungus ikaw bacteria Yan mtu anaandik vitu Hana navyo uelewa naanza kupata mashaka na vingi tunavyopost humu havina link na ukwel ni just mtu anaskia kitu kwa watu anakimbia kuelimisha wengne kumbe anapoteza wengi.
 
Back
Top Bottom