Kandida inapunguza hamu ya tendo la ndoa

Watanzania wengi wanaogopa kukosa hamu ya tendo la ndoa kuliko wanavyoogopa kufa.

Yani unaweza kuwaambia hii tabia inaweza kusababisha kifo, wakakudharau, lakini ukiwaambia hii tabia itakuondokea hamu ya kufanya tendo la ndoa, hapo wakusikilize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…