minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Waache kununua V8 vx ili waache fujo kutanua barabarani kuleta usumbufu usio na tija yeyote, umefika mda Magari ya Serikali yote yawe aina moja tu Rava4 old model zinawatosha waache kutumia mabilioni ya walipa kodi kujinunulia magari ya gharama I hali Hosptal hazina huduma za kutosha kuna upungufu wa madawati madarasa barabara mbovu mitaani zinahitaji ukarabati mkubwanaunga mkono hoja.zile ni mashine za kazi.wakuu unakuta wanawah vikao muhim na alipotoka pia katoka katika majukumu muhimu.ndio mana dereva anakamua mashine kuwahi.ndio mana ni profeshno.acheni zipige kiatu.ili mradi suka anakua makin sasa mashine hujuiiuliz kwa nini ni v8? mana yake ipo.kikaz zaid.acheni gari ziende kikaz zaidi