Unaijua bible wewe Nguruwe?Kwel we zumbukuku
HUuu akitakiwa kupigwa cha atatoa! maana mwanaume huwezi sema uharo kama huo!Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.
Ni kama Yesu,ila siyo Yesu...
Alafu utakuta ana watoto na wajukuu!
Yesu ana kiti na glasi yake Mwanga Bar hapa Dodoma anagonga mtwango (SAFARI LAGER)? Huyu Yesu tumegonga naye sana haya mambo mbona? Sasa hivi tunajua ving'ora haviwezi kupaki hapa Mwanga? Karibuni tuendelee na kiraji, Lugola anaona mwenzie Thobias kawahi msamaha kabla yake, naye anausaka kwa udi na uvumba!Dah.....bunge linogile.
Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.
Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu nyingine yoyote tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayeshinda Grocery na hasa pale Chako ni Chako.
"Niliwahi kusema watu kama Rais Magufuli hawazaliwi kila wakati na hauwezi kuwapata kila mahala. Watu ambao unaweza kuwapata kila mahala ni walevi kama kina Freeman Mbowe" - Kangi Lugola.
Chanzo: Bungeni
Maendeleo hayana vyama!
Kwani kuiba mpaka mkataba uwe tayari? msivamie mambo msiyoyajua, hata kuwa na nia ya kutenda uovu ni kosa!Aliiba? Kwani mkataba ulikuwa tayari? Na kuna pesa zilikwapuliwa?
Unaijua bible wewe Nguruwe?
Huyu Mzee anatamani kurudi kwenye uwaziri hivyo ataongea chochote ili kufikia malengo
Neno KAMA limekuwa likiwachanganya sana watu waliokijulia kiswahili ukubwani"Rais @MagufuliJP amekuwa kama Yesu Kristo, Watanzania wanamlilia na kumfuata na ndiyo maana hata aliponitengua nilisema, ulinipa heshima ya huu Uwaziri na leo umeutwaa, jina la Magufuli libarikiwe" -Kangi Lugola. https://t.co/oj5Fe0vJh9
Rais John Magufuli ni lulu ya Watanzania, Mheshimiwa Magufuli amejenga heshima ya Taifa hili na ndio maana liko kwenye kilele cha juu cha kutenda haki machoni mwa Watanzania - Kangi Lugola. #HATUCHUJI #KwanzaHabari https://t.co/hjT17j22wL
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kufuru za kila AinaNa aliesema Mungu amshukuru Magufuli je?
Mbona hii kufuru ndogo kabisa
Ndo afananishwe na yesu?Yaani mbunge kusema kweli rais JPM anatatua kero za wananchi imekuwa kosa? Kwani watu hawaoni kwenye Tv namna anavyotatua hizo kero?