Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.
HUuu akitakiwa kupigwa cha atatoa! maana mwanaume huwezi sema uharo kama huo!
 
Kiongozi wa malaika.
tapatalk_1521257770454.jpg
 
Dah.....bunge linogile.

Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.

Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu nyingine yoyote tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayeshinda Grocery na hasa pale Chako ni Chako.

"Niliwahi kusema watu kama Rais Magufuli hawazaliwi kila wakati na hauwezi kuwapata kila mahala. Watu ambao unaweza kuwapata kila mahala ni walevi kama kina Freeman Mbowe" - Kangi Lugola.

Chanzo: Bungeni

Maendeleo hayana vyama!
Yesu ana kiti na glasi yake Mwanga Bar hapa Dodoma anagonga mtwango (SAFARI LAGER)? Huyu Yesu tumegonga naye sana haya mambo mbona? Sasa hivi tunajua ving'ora haviwezi kupaki hapa Mwanga? Karibuni tuendelee na kiraji, Lugola anaona mwenzie Thobias kawahi msamaha kabla yake, naye anausaka kwa udi na uvumba!
 
Hebu alone kumuhusisha Yesu Kristi na mambo ya ajabu ,ccm si mna Mungu wene mwenge Nyamrunda .Sasa Sasa Nyamrunda na Yesu kritu wapi na wapi.
 
Badala ya kumuabucu mungu wa ccm Nyamrunda,mnadandia Mungu was wakristo,hata aibu Hana?
 
Baada ya kusamehewa kosa la wizi wa mali za umma, jamaa lipo tayari kusema ama kufanya lolote lile ili iwe kama asante kwa boss.

Kuishi kwa kupiga magoti aisee siwezi Bora nifwe rofa.
 
"Rais @MagufuliJP amekuwa kama Yesu Kristo, Watanzania wanamlilia na kumfuata na ndiyo maana hata aliponitengua nilisema, ulinipa heshima ya huu Uwaziri na leo umeutwaa, jina la Magufuli libarikiwe" -Kangi Lugola. https://t.co/oj5Fe0vJh9

Rais John Magufuli ni lulu ya Watanzania, Mheshimiwa Magufuli amejenga heshima ya Taifa hili na ndio maana liko kwenye kilele cha juu cha kutenda haki machoni mwa Watanzania - Kangi Lugola. #HATUCHUJI #KwanzaHabari https://t.co/hjT17j22wL
Neno KAMA limekuwa likiwachanganya sana watu waliokijulia kiswahili ukubwani
 
Huyu ndugu ni bure kabisa kichwani kujipendekeza tu na kukufuru
 
Yaani mbunge kusema kweli rais JPM anatatua kero za wananchi imekuwa kosa? Kwani watu hawaoni kwenye Tv namna anavyotatua hizo kero?
Ndo afananishwe na yesu?
Then utamsifiaje mwanaume mwenzako kiasi kile?
Wengine inabidi wachunguzwe Kama Malinda bado yapo
 
Hapa ndio tufahamu umuhimu wa wapinzani bungeni japo nao wanamapungufu kiasi, kwa hili wapinzani wangekuwa katika ubora wao wangelikosoa vikali haya mapambio yanayoendela, watu wangechangia hoja kwa zenye maana. Lakini wapinzani wamevurugwa wako kama yatima bungeni, Faru John ana waharass live live.

Na hapo bado mnashabikia upinzani ufutwe eeenhe, bunge liwe la wana CCM pekeyao, tutaelewana tu taratibu. Zitakuwa ni porojo, ndiooooo, sifa na kuabudu, kuteteana na kulindana. Bunge hili linatia kinyaa, Na bado lijalo ndio tutaelewa maana kwasababu sasa hivi hatuelewi maana.
 
Back
Top Bottom