Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Watanzania tuna akili sana tunaangalia na msemaji mwenyewe, ubishane na mtu mwenye kuvaa suti iliyomzidi umbo na mifuko ya bendera ya nchi, si utakuwa tahira
[emoji1][emoji1] huyo Ni Mr masuti / kiuno bila mfupa.
 
Si unasema Yesu hafanani na kitu chochote ??!! Hayaa, hebu tumsikie yeye mwenyewe anajifananisha na kitu gani;

Yesu anasema; "Mimi ni mzabibu na nyinyi ni matawi----" (Yohana 15:5).

Wewe na Yesu nani anasema kweli???
Rudio Tena Hilo andiko Kisha lifikirie ndo uje kucomment hapa.
 
Rudio Tena Hilo andiko Kisha lifikirie ndo uje kucomment hapa.

Mimi nimemjibu ndugu Thailand aliposema; " Yesu ni jina kubwa hafananishwi na kiumbe chochote"

Sasa mimi nimetoa andiko la Biblia ambamo Yesu mwenyewe amejifananisha na Mzabibu, siyo kafananishwa bali yeye mwenyewe kajifananisha na mmea (kiumbe mzabibu), isitoshe wanafunzi wake kawafananisha na Matawi ya huo mzabibu, Yohana 15:5.

Sasa, Yesu,Thailand na wewe nani mkweli, tumfuate nani???
 
Yani hawa ni kama baba zetu ila kwa wanachokifanya kwa sasa unatamani uwatukane nwa Noko kwani mboma kuna.watu wanafanya kazi zao vzr bila kuleta masifa sifa na kujipendekeza pendekeza ngoja nisiwataje wasije fukuzwa viti vyao hahahh
 
Tusubiri kauli hiyo ikitiliwa mkazo na Gwajima mzee wa Uno, Mzee wa upako na Mashimo tena kwa vifungu na mistari ya biblia.
Haya wakristo wanaccm kumbe Yesu mnaye ndani ya chama chenu? Hakika endeleeni kuonyesha imani yenu thabiti kwa Yesu wenu.
Hivi Gwajima ameacha kutafuna kondoo wake ?
 
"Rais @MagufuliJP amekuwa kama Yesu Kristo, Watanzania wanamlilia na kumfuata na ndiyo maana hata aliponitengua nilisema, ulinipa heshima ya huu Uwaziri na leo umeutwaa, jina la Magufuli libarikiwe" -Kangi Lugola. https://t.co/oj5Fe0vJh9

Rais John Magufuli ni lulu ya Watanzania, Mheshimiwa Magufuli amejenga heshima ya Taifa hili na ndio maana liko kwenye kilele cha juu cha kutenda haki machoni mwa Watanzania - Kangi Lugola. #HATUCHUJI #KwanzaHabari https://t.co/hjT17j22wL
Kuna tofauti gani kati ya Yesu mzungu na Yesu mwafrika Magufuli?
 
Si unasema Yesu hafanani na kitu chochote ??!! Hayaa, hebu tumsikie yeye mwenyewe anajifananisha na kitu gani;

Yesu anasema; "Mimi ni mzabibu na nyinyi ni matawi----" (Yohana 15:5).

Wewe na Yesu nani anasema kweli???
Habar za biblia hazitafasiliwi vyepesi namna hiyo. Hapo alitaka kutuelezea tu uhusiano uliopo Kati yetu sisi wanadamu na yeye Muumbaji.
 
Mungu wetu huwa anajitetea mwenyewe.

Hata ukiamua kuisigina Bible hatutakuuliza, Mungu atajitetea mwenyewe.
 
"Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina ili kwa Jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi, na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba."

WAFILIPI 2:9-10.
 
"Rais @MagufuliJP amekuwa kama Yesu Kristo, Watanzania wanamlilia na kumfuata na ndiyo maana hata aliponitengua nilisema, ulinipa heshima ya huu Uwaziri na leo umeutwaa, jina la Magufuli libarikiwe" -Kangi Lugola. https://t.co/oj5Fe0vJh9

Rais John Magufuli ni lulu ya Watanzania, Mheshimiwa Magufuli amejenga heshima ya Taifa hili na ndio maana liko kwenye kilele cha juu cha kutenda haki machoni mwa Watanzania - Kangi Lugola. #HATUCHUJI #KwanzaHabari https://t.co/hjT17j22wL
Hili jizi kwa lilivyomwabudu mkuu wa wezi litasamehewa ile hela ya mkataba feki wa zimamoto
General mbungo anahangaikia majungu wakati ameshatupa taarifa jamaa ni hizi. Subirini tuu yajayo yanafurahisha
Corona ikmaliza Burundi IPO hapo kwenye baraza inaanza na kinara.
 
Yesu kazidiwa kidogo na magufuli" according to Kangi"
 
Hawa watu dawa yao wapate mapigo matakatifu ndio hofu ya Mungu iwajie...

Ila Mungu banaaa, hapangiwi..
Hayo mapigo unashangaa napata mimi nisie na hili wala lile..
Kuna siku watakuja kusema tumtolee sadaka za kuteketezwa kwani anafanana na Mungu aliyempiga farao kwa ghadhabu. Reference itakuwa amewapiga mabeberu mapigo 10.
1. Kuzuia makinikia na mkataba mpya wa madini
2. Kuzuia miradi ya kipigaji eg bagamoyo
3. Amejenga miundombinu
4. Amefufua mashirika ya umma
5. Amenunua ndege kwa cash
6. Anasifiwa na lumumba plo
7. Anawanyoosha wapinzani
8. Anaungwa mkono kila mahali
9. Anaongoza wanyonge
10. Ametokomeza corona.

Amini amini nawaambia, awamu hii haitapita mpaka tushuhudie maajabu yote ya karne zijazo.
 
Back
Top Bottom