kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Wote tumesikiliza alichokiongea mwisho alisema "jina la magufuli libarikiwe".Sidhani kama amemlinganisha Yesu na JPM,bali katoa mfano namna akifika sehemu na kutatua kero za wananchi ni kama vile Yesu alivyokuwa anawasaidia wenye shida on the spot. Ila hana maana kwamba JPM na Yesu wanalingana. Mfano watu wakilia hawana mabati hapo hapo wanachapwa mil 20 na JPM .
Hajamaanisha Magufuli ni kama Yesu. Bali katika kutatua kero za wananchi anafuata nyayo za Yesu maana anazitatua on the spot kama Yesu.Ndo afananishwe na yesu?
Then utamsifiaje mwanaume mwenzako kiasi kile?
Wengine inabidi wachunguzwe Kama Malinda bado yapo
Bado hajasamehewaAtaachaje kusifia wakati juzi kasamehewa zile tuhuma zake za rushwa.
Naona sasa kuna umuhimu hili bunge la mwisho liwe linaondolewa kwenye ratiba kabisa, kwasababu wabunge wengi (CCM) wanaonekana kuchoka akili wanajadili upuuzi tu, halafu wanalipana pesa za wavuja jasho wa nchi hii, huku Spika akishangilia.
Nyie mmekosa hoja mnatafuta pa kutokea. Lakini hamtatoka mwisho wenu next week.Wote tumesikiliza alichokiongea mwisho alisema "jina la magufuli libarikiwe".
Kwani we dini gani?Hajamaanisha Magufuli ni kama Yesu. Bali katika kutatua kero za wananchi anafuata nyayo za Yesu maana anazitatua on the spot kama Yesu.
Apo sasa. Wamepunguziwa deni la la $13m na IMF wametukuza ile mbaya. Leo et waibiwe 1triliin bila Rais kujua????? Usanii tuKangi Lugola ni mwizi wa Mali ya umma, Magufuli naye ni mwizi, mtu hawezi kuiba trillion bila rais kujua.
Wanatuchezea akili zetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya kusikia Andengenye kasamehewa yeye kaamua kuja na gia ya kumuita Magufuli Yesu.
Na usishangae akawin maana pengine aliko anapeana tano na mama J huku akimwambia "si unaona, sasa sio ya malaika mkuu tena sasa ni Yesu. Mimi ndio bosi wa Papa, makadnali na maaskofu wote"
unazani uyo ni mzima?
[emoji28][emoji28][emoji2]Kiongozi wa malaika.View attachment 1477466
Kwani we dini gani?
Nisije nikasumbuka na mpagani
Kwani we unadhani Lugola ni dini gani? Hamjui Yesu? Hana akili timamu?Kwani we dini gani?
Nisije nikasumbuka na mpagani
Kwani we unadhani Lugola ni dini gani? Hamjui Yesu? Hana akili timamu?
Bora angemfananisha na mtume Mudi etii? Yesu alikuja kwa mfanano wa binadamu lkn so alikuwa kamasisi
LENGO LA KUMFANANISHA JIWE NA MBOWE NI NINI?
Acha nao hao awataki kukubali kua yesu yupo ChamwinoYaani mbunge kusema kweli rais JPM anatatua kero za wananchi imekuwa kosa? Kwani watu hawaoni kwenye Tv namna anavyotatua hizo kero?
Kama 1.5,Lugumi,Richmond,KAGODA iliachwa hivyo...apo hamna jipyaKwani kuna pesa ilikwapuliwa? Walikuwa bado kwenye stage za kutengeza Mou. Kumbuka tril 1.2 ni zaidi ya escrow scandal . Inawezekana iachwe hivi hivi?
Kwani hii ya akina Lugola kuna tril 1.2 zilipigwa?Kama 1.5,Lugumi,Richmond,KAGODA iliachwa hivyo...apo hamna jipya