Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Sidhani kama amemlinganisha Yesu na JPM,bali katoa mfano namna akifika sehemu na kutatua kero za wananchi ni kama vile Yesu alivyokuwa anawasaidia wenye shida on the spot. Ila hana maana kwamba JPM na Yesu wanalingana. Mfano watu wakilia hawana mabati hapo hapo wanachapwa mil 20 na JPM .
Wote tumesikiliza alichokiongea mwisho alisema "jina la magufuli libarikiwe".
 
Ndo afananishwe na yesu?
Then utamsifiaje mwanaume mwenzako kiasi kile?
Wengine inabidi wachunguzwe Kama Malinda bado yapo
Hajamaanisha Magufuli ni kama Yesu. Bali katika kutatua kero za wananchi anafuata nyayo za Yesu maana anazitatua on the spot kama Yesu.
 
Ataachaje kusifia wakati juzi kasamehewa zile tuhuma zake za rushwa.

Naona sasa kuna umuhimu hili bunge la mwisho liwe linaondolewa kwenye ratiba kabisa, kwasababu wabunge wengi (CCM) wanaonekana kuchoka akili wanajadili upuuzi tu, halafu wanalipana pesa za wavuja jasho wa nchi hii, huku Spika akishangilia.
Bado hajasamehewa
Ndiyo anatafuta kusamehewa
 
Kangi Lugola ni mwizi wa Mali ya umma, Magufuli naye ni mwizi, mtu hawezi kuiba trillion bila rais kujua.
Wanatuchezea akili zetu
Apo sasa. Wamepunguziwa deni la la $13m na IMF wametukuza ile mbaya. Leo et waibiwe 1triliin bila Rais kujua????? Usanii tu
 
Baada ya kusikia Andengenye kasamehewa yeye kaamua kuja na gia ya kumuita Magufuli Yesu.
Na usishangae akawin maana pengine aliko anapeana tano na mama J huku akimwambia "si unaona, sasa sio ya malaika mkuu tena sasa ni Yesu. Mimi ndio bosi wa Papa, makadnali na maaskofu wote"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
LENGO LA KUMFANANISHA JIWE NA MBOWE NI NINI?

Jiwe ana chuki ya wazi na Mbowe na cdm kwa ujumla, hivyo hao akina Lugola washamsomea ramani anapenda nini. Kwahiyo kuitaja cdm au Mbowe kwa lugha ya dhihaka ni sehemu ya kuchukua pointi za mezani.
 
Kwani kuna pesa ilikwapuliwa? Walikuwa bado kwenye stage za kutengeza Mou. Kumbuka tril 1.2 ni zaidi ya escrow scandal . Inawezekana iachwe hivi hivi?
Kama 1.5,Lugumi,Richmond,KAGODA iliachwa hivyo...apo hamna jipya
 
Back
Top Bottom