kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Wote tumesikiliza alichokiongea mwisho alisema "jina la magufuli libarikiwe".Sidhani kama amemlinganisha Yesu na JPM,bali katoa mfano namna akifika sehemu na kutatua kero za wananchi ni kama vile Yesu alivyokuwa anawasaidia wenye shida on the spot. Ila hana maana kwamba JPM na Yesu wanalingana. Mfano watu wakilia hawana mabati hapo hapo wanachapwa mil 20 na JPM .