Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Nani amekwambia Yesu ni Mungu?

Wanasiasa ni wanafiki sana mnatumia migongo ya wananchi kufanikisha mambo yenu...
 
Atueleze Magufuli amemfufua nani ili tumwombe amfufue Ben Saanane.
 
Hakuishia hapo alizungumzia pia na Chako ni chako!
 
Nendeni na hii hoja kwenye kampeni ili Magufuli ashindwe,!

Alafu sijui kampeni mtaoigaje maana mnasema corona imejaa,

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Lugora unamkufuru Mungu kumfananisha Rais Magufuri na nabii issa? / Yesu !!Umemkosea Sana Rais wanchi kumpa sifa ambazo zinafanya watu wamseme vibaya kumbe maskini mzee was watu wala hizo sifa hajawahi kujinasibu kuwa nazo! Viongozi wangu muwe na HEKIMA !!! Mnaweza liingiza taifa kwenye laana zizoepukika!!!! Yule was Mbeya hajatubu na Wewe unakuja na yako ya kukufuru!!! Mnasababisha watu kumchukia Mkulu was Kaya. Mnatafuta nn? Maneno mengine na mifano hakuna?????Tubun la sivyo tunafunga kwa ajili ya kuwashtakia kwa kukufuru. Tena na yule was Mbeya. Kashupaza shingo laana ikishuka msilie!!!
 
Nasubiri wamfananishe Magufuli na Mtume Muhamad (pbuh) ndipo nitajua kweli ccm inajenga uchumi wa viwanda
 
Huyu Mungu ndye tunasema tulimuomba siku 3 atuondolee korona na sasa imeisha.

Huyu Lugola angejaribu kumfananisha na Mtume mhamadi akaona kipigo chake. Wakristu ni wastaarabu sana. Ila sio vizuri kukalia kimya swala hili. Wamfungie hata masacrament.
 
AJABU SANA KWA KWELI LABDA KWA KUFANYA HIVI KESI ITAFUTWA
 
Mungu baba wa hapa kwetu asiepingwa asiebishiwa ukimbishia unapotea
 
Ningekuwa mimi ni magu kwa kweli ningemshikisha mtu ukuta
 
Fala Wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…