Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Eti na huyu ni mwanamume , ana watoto wanasema tuna Baba! Ana mke anasema nina mume? Litakuwa shoga hili! akisema nipe litampa , linakera sana mpaka mtu unasema ambayo singeliyasema!
 
Watu hawa hufatana nami lakini mioyo yao ipo mbali nami nao hufundisha mafundisho ya wanadamu" kangi lugola hajui kwamba bila yeye kisomo chake alivyosoma asingechanguliwa kwenye nafasi kama ile,
 
Nendeni na hii hoja kwenye kampeni ili Magufuli ashindwe,!

Alafu sijui kampeni mtaoigaje maana mnasema corona imejaa,

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Hivi mnajitoaje ufahamu kwa kushabikia kauli za kufuru kama hizi? Hata kama mnaona aliyesema yuko upande wenu na amempamba mnayetaka apambwe, lakini apambwe kwa kumkufuru Mungu? Hata kama wewe ni muislamu na haukubali uungu wa Yesu kwa maana kauli ya Magufuli kuwa sawa na Yesu haikushitui, lakini jina la Magufuli KUHIMIDIWA unaona sawa? Tafuta kamusi angalia "HIMIDI"!! Soma vitabu vya dini yako angalia ni nani apasaye KUHIMIDIWA?
Mnayachukulia makufuru kwa wepesi huku mkikaribisha laana? Hata kama namkubali Magufuli siwezi kukubali AHIMIDIWE maana hana hadhi hiyo. Nyerere alikataa kuitwa Mtukufu si kwa vile hakupenda ukubwa, ila kwa sababu alijiona binadamu wa kawaida asiyestahili hadhi ya kuabudiwa. Lakini huyu watu wananena makufuru kwa kujipendekeza yeye kanyamaza kimya, ina maana anakubaliana nao. Alianza wa Tabora kusema Mungu amwombe Magufuli, akakaa kimya weeee, mpaka alipoambiwa na Kadinali PENGO ndo akatoka kukanusha. Hivi yeye ni Mkristo gani hajui apasaye KUHIMIDIWA ni Mungu pekee?
 
Hayo ni mawazo yake binafsi na wala si jamii yote ina mawazo kama yake hivyo apambane tu na hali yake.
 
Hivi vetting ya kumpa mtu uwaziri awamu hii ikoje? Huyu jamaa mbona namuonaga mweupe sana alipataje uwaziri! Huyu pamoja na Khamis.
Hao jamaa wote ni weupe hauitaji hata kuwa msomi kuliona hilo
 
Huyo ni wa kumpuuzia tu. Anapigania nafasi yake ya ubunge maana Musiba nae anagombea jimbo la Mwibara. Kura za maoni huwa sio mwisho. Mwenye wino wa mwisho ni mwenyekiti wa Chama.
 

Tafuteni uungwaji.mkono ili mshinde uchaguzi,
Hayo mambo ya kangibhayatawaongezea chochote, hangaikeni na mambo ya kuwapa wafuasi tunaelekea uchaguzi sasa.
 
lugola asulibishwe kwa kukashifu dini yetu mpuuzi sana
Mbona hakuo gelea dini yoyote? Yesu siyo wa dini tu, ni wa wanadamu wote hata Lugola mwenyewe. Hivyo hivyo alivyo Rais Magufuli - siyo Rais wa WANACCM tu ni Rais wa waTanzania wote pamoja na wewe na wanaCHADEMA! Msikasilike.
 
Hivi vetting ya kumpa mtu uwaziri awamu hii ikoje? Huyu jamaa mbona namuonaga mweupe sana alipataje uwaziri! Huyu pamoja na Khamis.
Kangi Lugola alikuwa mwanafunzi wa Magufuli katika shule ya secondary.
 
Ukiona mtu mzima anaongea maneno kama hayo tena yupo kwenye jumba la kutunga sheria basi jua kuwa huyo mtu ni mficha makosa na ni fisadi mkubwa.
 
Ndiyo wanakufuru kiasi hicho? Unamfananishaje kiumbe mwenzako na mtume? Hili jambo ilibidi hata mh rais alikemee hadharani maana ni kufuru kubwa
Wanapambana ili awakumbuke kwenye ufalme wake wa hapa dunani.
 
Hivi vetting ya kumpa mtu uwaziri awamu hii ikoje? Huyu jamaa mbona namuonaga mweupe sana alipataje uwaziri! Huyu pamoja na Khamis.
Kumbuka cheo alichokuwa nacho, siro wanatoka sehemu gani ya nchi
 
Ebu tutolee umbumbumbu wako wa kushindwa kuishirikisha akili
Nani amekwambia Yesu ni Mungu?

Wanasiasa ni wanafiki sana mnatumia migongo ya wananchi kufanikisha mambo yenu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…