Eti na huyu ni mwanamume , ana watoto wanasema tuna Baba! Ana mke anasema nina mume? Litakuwa shoga hili! akisema nipe litampa , linakera sana mpaka mtu unasema ambayo singeliyasema!Maneno ya Kangi Lugora baada ya kumfananisha Rais Magufuli na Yesu ambapo anasema:
Rais Magufuli ni kama Yesu na hata aliponitengua uwaziri nilimshukuru kwa kumwambia "Ulinipa uwaziri, sasa umeutwaa na jina lako lihimidiwe"
Sisi kama nchi kwa sasa jina la Magufuli linatufanya tunamkufuru Mungu. Hili halikubaliki hata kidogo.