KAfundishwa na jiweKwani CV ya li ligola ipoje
Hivi watanzania ule utaratibu wetu wa kuapa kwa vitabu vya Mungu tunaushika kweli?
Mbona haya yanatokea na hakuna anaediriki kusema?
Yesu kristo Ni mwokozi wetu sore tulioamua kumfata na hafananishwi na binadamu.
ndo ashakwambia yesu kwakuwa alizaliwa na mwanamke hakuna mungu hapoBora angemfananisha na mtume Mudi etii? Yesu alikuja kwa mfanano wa binadamu lkn so alikuwa kamasisi
Wenzako wameshamjulia anapenda kuabudiwa. Hapo anapalilia tumbo lake. Njaa haina aibu."Rais @MagufuliJP amekuwa kama Yesu Kristo, Watanzania wanamlilia na kumfuata na ndiyo maana hata aliponitengua nilisema, ulinipa heshima ya huu Uwaziri na leo umeutwaa, jina la Magufuli libarikiwe" -Kangi Lugola. https://t.co/oj5Fe0vJh9
Rais John Magufuli ni lulu ya Watanzania, Mheshimiwa Magufuli amejenga heshima ya Taifa hili na ndio maana liko kwenye kilele cha juu cha kutenda haki machoni mwa Watanzania - Kangi Lugola. #HATUCHUJI #KwanzaHabari https://t.co/hjT17j22wL
Hili Tangi la Ugoro lidharauni.
Viongozi wa CCM wengi wana matatizo..."Rais @MagufuliJP amekuwa kama Yesu Kristo, Watanzania wanamlilia na kumfuata na ndiyo maana hata aliponitengua nilisema, ulinipa heshima ya huu Uwaziri na leo umeutwaa, jina la Magufuli libarikiwe" -Kangi Lugola
Asilimia 100
Sina uhakika kama mleta uzi anataka kuleta vita ya kidini kwa mgongo wa siasa"Rais @MagufuliJP amekuwa kama Yesu Kristo, Watanzania wanamlilia na kumfuata na ndiyo maana hata aliponitengua nilisema, ulinipa heshima ya huu Uwaziri na leo umeutwaa, jina la Magufuli libarikiwe" -Kangi Lugola. https://t.co/oj5Fe0vJh9
Rais John Magufuli ni lulu ya Watanzania, Mheshimiwa Magufuli amejenga heshima ya Taifa hili na ndio maana liko kwenye kilele cha juu cha kutenda haki machoni mwa Watanzania - Kangi Lugola. #HATUCHUJI #KwanzaHabari https://t.co/hjT17j22wL
Jiwe hawezi kuwa na mwanfunzi mjinga kiasi kileKAfundishwa na jiwe
Watanzania tuna akili sana tunaangalia na msemaji mwenyewe, ubishane na mtu mwenye kuvaa suti iliyomzidi umbo na mifuko ya bendera ya nchi, si utakuwa tahiraHivi watanzania ule utaratibu wetu wa kuapa kwa vitabu vya Mungu tunaushika kweli?
Mbona haya yanatokea na hakuna anaediriki kusema?
Yesu kristo Ni mwokozi wetu sore tulioamua kumfata na hafananishwi na binadamu.
Kwani kuna pesa ilikwapuliwa? Walikuwa bado kwenye stage za kutengeza Mou. Kumbuka tril 1.2 ni zaidi ya escrow scandal . Inawezekana iachwe hivi hivi?