kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
[emoji1][emoji1] huyo Ni Mr masuti / kiuno bila mfupa.Watanzania tuna akili sana tunaangalia na msemaji mwenyewe, ubishane na mtu mwenye kuvaa suti iliyomzidi umbo na mifuko ya bendera ya nchi, si utakuwa tahira
Kwahiyo unaona ni sawa?Yesu pia ni kiumbe mkuu ..ni binadamu
Rudio Tena Hilo andiko Kisha lifikirie ndo uje kucomment hapa.Si unasema Yesu hafanani na kitu chochote ??!! Hayaa, hebu tumsikie yeye mwenyewe anajifananisha na kitu gani;
Yesu anasema; "Mimi ni mzabibu na nyinyi ni matawi----" (Yohana 15:5).
Wewe na Yesu nani anasema kweli???
Stupid question from a stupid person.Kwani ESCROW ilifanywa nini, na ile tril 1.5 ya CAG niaje.?
Rudio Tena Hilo andiko Kisha lifikirie ndo uje kucomment hapa.
Hivi Gwajima ameacha kutafuna kondoo wake ?Tusubiri kauli hiyo ikitiliwa mkazo na Gwajima mzee wa Uno, Mzee wa upako na Mashimo tena kwa vifungu na mistari ya biblia.
Haya wakristo wanaccm kumbe Yesu mnaye ndani ya chama chenu? Hakika endeleeni kuonyesha imani yenu thabiti kwa Yesu wenu.
Kuna tofauti gani kati ya Yesu mzungu na Yesu mwafrika Magufuli?"Rais @MagufuliJP amekuwa kama Yesu Kristo, Watanzania wanamlilia na kumfuata na ndiyo maana hata aliponitengua nilisema, ulinipa heshima ya huu Uwaziri na leo umeutwaa, jina la Magufuli libarikiwe" -Kangi Lugola. https://t.co/oj5Fe0vJh9
Rais John Magufuli ni lulu ya Watanzania, Mheshimiwa Magufuli amejenga heshima ya Taifa hili na ndio maana liko kwenye kilele cha juu cha kutenda haki machoni mwa Watanzania - Kangi Lugola. #HATUCHUJI #KwanzaHabari https://t.co/hjT17j22wL
Habar za biblia hazitafasiliwi vyepesi namna hiyo. Hapo alitaka kutuelezea tu uhusiano uliopo Kati yetu sisi wanadamu na yeye Muumbaji.Si unasema Yesu hafanani na kitu chochote ??!! Hayaa, hebu tumsikie yeye mwenyewe anajifananisha na kitu gani;
Yesu anasema; "Mimi ni mzabibu na nyinyi ni matawi----" (Yohana 15:5).
Wewe na Yesu nani anasema kweli???
Bora angemfananisha na mtume Mudi etii? Yesu alikuja kwa mfanano wa binadamu lkn so alikuwa kamasisi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1] huyo Ni Mr masuti / kiuno bila mfupa.
What did you expect from a man like that[emoji3516]
Hili jizi kwa lilivyomwabudu mkuu wa wezi litasamehewa ile hela ya mkataba feki wa zimamoto"Rais @MagufuliJP amekuwa kama Yesu Kristo, Watanzania wanamlilia na kumfuata na ndiyo maana hata aliponitengua nilisema, ulinipa heshima ya huu Uwaziri na leo umeutwaa, jina la Magufuli libarikiwe" -Kangi Lugola. https://t.co/oj5Fe0vJh9
Rais John Magufuli ni lulu ya Watanzania, Mheshimiwa Magufuli amejenga heshima ya Taifa hili na ndio maana liko kwenye kilele cha juu cha kutenda haki machoni mwa Watanzania - Kangi Lugola. #HATUCHUJI #KwanzaHabari https://t.co/hjT17j22wL
Kuna siku watakuja kusema tumtolee sadaka za kuteketezwa kwani anafanana na Mungu aliyempiga farao kwa ghadhabu. Reference itakuwa amewapiga mabeberu mapigo 10.Hawa watu dawa yao wapate mapigo matakatifu ndio hofu ya Mungu iwajie...
Ila Mungu banaaa, hapangiwi..
Hayo mapigo unashangaa napata mimi nisie na hili wala lile..