Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Mkiuliza maswali kama hayo wananchi watakuwa wanawaonesha vituo vya afya,hospitali,madaraja,mradi wa Sgr,JNHPP n.k alafu wanabaki kuwashangaa tu.
Wananchi wa aina hiyo unayoisema wewe walikuwa wengi sana mpaka miaka 15 - 20 iliyopita. Wengi wao hawakuwa wameona hata milango ya shule yoyote.

Sasa hivi wananchi hao wamepungua, wamebaki wachache sana baada ya wengi wao kuwa wametuacha kwa kuzeeka.
Wanaozidi kuongezeka ni watoto na wajukuu wao waliyoona milango ya mpaka chuo kikuu na zaidi lakini maisha yao ni duni/hoi.
Ngonjera zenu haziwavutii tena ndio maana mwazidi kutegemea ulaghai na maguvu ya dola kuliko mvuto toka mioyoni mwao.
AMEN
 
Kufuru nyingine mpaka unaogopa
Mimi huwa kila nisalipo,namwomba sana Mwenyezi Mungu atuepushie hasira zake kwa Tanzania (Taifa) kutokana na kufuru za viumbe hai wachache wanaofanana fanana na binadamu,kama huyu kaka mkuu wa SB mwizi wa blue band za wenzake.
 
Wakati ule kamtumbua mlishangilia na kumsifu Magu, sasa kamsamehe mnashangilia na kumsifu Magu!
Hiyo ndio maana halisi ya misukule.
Akili zimeshaondolewa, chochote afanyacho bosi, wao ni kukenua meno tu.
 
Mkiuliza maswali kama hayo wananchi watakuwa wanawaonesha vituo vya afya,hospitali,madaraja,mradi wa Sgr,JNHPP n.k alafu wanabaki kuwashangaa tu.
Wananchi wa aina hiyo unayoisema wewe walikuwa wengi sana mpaka miaka 15 - 20 iliyopita. Wengi wao hawakuwa wameona hata milango ya shule yoyote.

Sasa hivi wananchi hao wamepungua, wamebaki wachache sana baada ya wengi wao kuwa wametuacha kwa kuzeeka.
Wanaozidi kuongezeka ni watoto na wajukuu wao waliyoona milango ya mpaka chuo kikuu na zaidi lakini maisha yao ni duni/hoi.
Ngonjera zenu haziwavutii tena ndio maana mwazidi kutegemea ulaghai na maguvu ya dola kuliko mvuto toka mioyoni mwao.
AMEN
 
Wananchi wa aina hiyo unayoisema wewe walikuwa wengi sana mpaka miaka 15 - 20 iliyopita. Wengi wao hawakuwa wameona hata milango ya shule yoyote.
Sasa hivi wananchi hao wamepungua, wamebaki wachache sana baada ya wengi wao kuwa wametuacha kwa kuzeeka.
Wanaozidi kuongezeka ni watoto na wajukuu wao waliyoona milango ya mpaka chuo kikuu na zaidi lakini maisha yao ni duni/hoi.
Ngonjera zenu haziwavutii tena ndio maana mwazidi kutegemea ulaghai na maguvu ya dola kuliko mvuto toka mioyoni mwao.
AMEN
Ahaaa. Unafuatilia mambo kwa hisia tu. Kaa na wazee usikie mkuu wa nchi anavyokubalika.
 
Dah.....bunge linogile.

Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.

Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu nyingine yoyote tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayeshinda Grocery na hasa pale Chako ni Chako.

Chanzo: Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
Njaa mbaya sana ila sio mbaya kipindi cha mwisho mwisho hiki kusifia angalau akumbukwe kurudishwa jimboni
 
Mkiuliza maswali kama hayo wananchi watakuwa wanawaonesha vituo vya afya,hospitali,madaraja,mradi wa Sgr,JNHPP n.k alafu wanabaki kuwashangaa tu.
Na hii ndio shida ya wana CCM cjui ushamba!! kma miundombinu kwani kikwete hakujenga malami nchi nzima? Ila CCM kwanini ilichukiwa?? Hujiulizi nyerere hakujenga flyover ila why anapendwa?

Kma issue ni madaraja pekee kwanini Afrika kusini walimtoa kaburu? Kwanini waganda walimtoa Idd Amin? Why Libya wamtoe gadaffi ama Tanu wamtoe Malkia ilihali miundombinu walijenga?

Kwa akili hizi basi Kulikuwa hakuna haja ya vyama vya upinzani Huko uingereza na US ambapi miundombinu ilishakuwepo miaka zaidi ya 300 sasa!!

Ssa naelewa mtaji wa CCM upo wapi!!
 
Mbwa kabisa huyu Jamaa...... Haya majitu likiwemo limusiba watu wa mwibara cjui wanayatoa wapi....
 
Alishitakiwa kwenye mahakama gani na kwa kosa gani? Kwani Mou ni legally binding?
Mashtaka yalipelekwa ofisi ya DPP na tukaambiwa ataitwa mahakamani otherwise TAKUKURU walipotosha!!

Kumbuka issue sio MoU bali kulikua na rushwa nyingi zimetembea mfano hiyo kulipana Allowance za Maelfu ya dollar kwa siku, michakato ya Procurement kukiukwa, n.k Hayo ndio yalikua mashtaka ya TAKUKURU sio hiyo MoU as MoU pekee ingawa ni conspirancy bado unaweza tumika kukutuhumu mahakamani.

CCM msifanye waTz watoto wadogo
 
Kuna kauli alimaliza nayo kwa kusema "jina la magufuli libarikiwe".
 
Na hii ndio shida ya wana CCM cjui ushamba!! kma miundombinu kwani kikwete hakujenga malami nchi nzima? Ila CCM kwanini ilichukiwa?? Hujiulizi nyerere hakujenga flyover ila why anapendwa?

Kma issue ni madaraja pekee kwanini Afrika kusini walimtoa kaburu? Kwanini waganda walimtoa Idd Amin? Why Libya wamtoe gadaffi ama Tanu wamtoe Malkia ilihali miundombinu walijenga?

Kwa akili hizi basi Kulikuwa hakuna haja ya vyama vya upinzani Huko uingereza na US ambapi miundombinu ilishakuwepo miaka zaidi ya 300 sasa!!

Ssa naelewa mtaji wa CCM upo wapi!!
Tanzania ni nchi ambayo bado inaendelea hata uchumi wa kati bado haijafikia. Kwa hiyo kuwekeza kwenye miundo mbinu,nishati elimu afya na mambo muhimu ni lazima. Na haya hayawezi kufanyika kama hamna kiongozi mwenye strong political good will kama JPM. Kama watu ishirini walikuwa wanakaa wanagawana bilioni 300+ za madili kama Escrow n.k,lakini sasa hakuna hayo. Kwa nini tusimsifie kiongozi kama JPM ambae anajenga mradi kama JNHPP kwa tril 6.5,pesa za ndani! Angekuwa sio mzalendo angehamishia Uswisi kwa manufaa yake.
Kwa usiifananishe Us su S.A na Tanzania japokuwa hata kwao ishu za afya hata miundo mbinu bado ni changamomoto.
 
Tanzania ni nchi ambayo bado inaendelea hata uchumi wa kati bado haijafikia. Kwa hiyo kuwekeza kwenye miundo mbinu,nishati elimu afya na mambo muhimu ni lazima. Na haya hayawezi kufanyika kama hamna kiongozi mwenye strong political good will kama JPM. Kama watu ishirini walikiwa wanakaa wanagawana bilioni 300+ . Kwa nini tusimsifie kiongozi kama JPM ambae anajenga mradi kama JNHPP kwa tril 6.5,pesa za ndani! Angekuwa sio mzalendo angehamishia Uswisi kwa manufaa yake.
Kwa usiifananishe Us su S.A na Tanzania japokuwa hata kwao ishu za afya hata miundo mbinu bado ni changamomoto.
Hujajibu swali kma issue ni Umeme wa stiegler's mbona Kikwete alileta wa gesi ambao tuliambiwa ungeweza peleka umeme hadi DRC!! ila kwanni CCM ilichokwa sana?

Nachosema UONGOZI na SERVICE DELIVERY ni vitu viwili tofauti kabisa. Otherwise zile Lami za Kikwete na umeme wa gesi ungewapa CCM 90% ya kura 2015!!

Ndio maana nashangaa eti ufisadi leo hii unaona sio issue? Kweli mahakama ya mafisadi haina maana kisa CCM imejenga vituo vya afya visivyo na madaktari wala madawa!!

Kwa mawazo hya CCM itatawala milele mpka siku tupate wananchi serious kma Kenya.
 
Dah.....bunge linogile.

Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.

Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu nyingine yoyote tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayeshinda Grocery na hasa pale Chako ni Chako.

Chanzo: Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
Hili li kangi hata baada ya kutupwa nje bado linasifia!? Kweli Tz watu wana njaa.
 
Astaghfirullah, Astaghfirullah, ya Rabbi tupe msamaha wako tuepushe na ghadhabu zako kutokana na kufru yetu sie waja wako dhaifu ambao tunakufuru kwa ujinga na tamaa za naisha mafupi ya hapa Duniani
Kuna mtu aliwahi kusema Mungu amshukuru Magufuli..hii.mbona kufuru ndogo sana
 
Mashtaka yalipelekwa ofisi ya DPP na tukaambiwa ataitwa mahakamani otherwise TAKUKURU walipotosha!!

Kumbuka issue sio MoU bali kulikua na rushwa nyingi zimetembea mfano hiyo kulipana Allowance za Maelfu ya dollar kwa siku, michakato ya Procurement kukiukwa, n.k Hayo ndio yalikua mashtaka ya TAKUKURU sio hiyo MoU as MoU pekee ingawa ni conspirancy bado unaweza tumika kukutuhumu mahakamani.

CCM msifanye waTz watoto wadogo
Allowance zilizoliopwa ilikuwa pesa ya serikali? Michakato ya procurement ilikiukwa ndio maana serikali makini ilishutuka. Wale waromania waliwalipia jamaa hizo posho zilizodaiwa kuwa rushwa una uhakika kama zimge
Hujajibu swali kma issue ni Umeme wa stiegler's mbona Kikwete alileta wa gesi ambao tuliambiwa ungeweza peleka umeme hadi DRC!! ila kwanni CCM ilichokwa sana?

Nachosema UONGOZI na SERVICE DELIVERY ni vitu viwili tofauti kabisa. Otherwise zile Lami za Kikwete na umeme wa gesi ungewapa CCM 90% ya kura 2015!!

Ndio maana nashangaa eti ufisadi leo hii unaona sio issue? Kweli mahakama ya mafisadi haina maana kisa CCM imejenga vituo vya afya visivyo na madaktari wala madawa!!

Kwa mawazo hya CCM itatawala milele mpka siku tupate wananchi serious kma Kenya.
Swali ni nimekujibu mkuu. Strong and good political will ya JPM ndio sababu kuu ya yeye kupendwa na wananchi. Huo mradi wa kinyerezi usiutolee mfano. Wakati kulikuwa na Tegeta Escrow inaiumiza serikali. Wakati kuna Richmond ilileta kizaazaa hapa Tanzania mpaka serikali ikajiuzulu. JNHPP ni suluhu kubwa kwa tatizo la umeme hapa Tanzania. JPM na CCM ya sasa imefanya kazi kubwa sana.
 
Back
Top Bottom