4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Yani watu wanapitiliza ,na wanamharibia sana Mwenyekiti wao ,shauri zao ngoja ipo siku watajua wamemharibia"Rais @MagufuliJP amekuwa kama Yesu Kristo, Watanzania wanamlilia na kumfuata na ndiyo maana hata aliponitengua nilisema, ulinipa heshima ya huu Uwaziri na leo umeutwaa, jina la Magufuli libarikiwe" -Kangi Lugola. https://t.co/oj5Fe0vJh9
Rais John Magufuli ni lulu ya Watanzania, Mheshimiwa Magufuli amejenga heshima ya Taifa hili na ndio maana liko kwenye kilele cha juu cha kutenda haki machoni mwa Watanzania - Kangi Lugola. #HATUCHUJI #KwanzaHabari https://t.co/hjT17j22wL
Yan et unakuta mtu anapendekeza jina lake lihitwe mji,si niukosefu wa ubunifu na bahati nzuri alikataa ,mimi nafikili mtu kama ametenda jema ipo siku hata asipokua madarakani wengine wataona umuhimu wa kufanya hivyo.
Hata hivyo binafsi achana na mambo yote hata kama yapo mapungufu kwa MAGU
kwa sababu ni binadam.
Ila nitamkumbuka kwa moja tu maishani mwangu KUHAMISHA MAKAO MAKUU KUJA DODOMA ila kuhusu kura yangu nasubili ilani za vya nizipitie ikiwemo na ya ccm alafu na nondo binafsi toka kwa mgombe ndo niamue nani nimpe kula yangu.kura yangu ni almasi mwaka huu simpi mtu kura kama ujanishawishi