Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

"Rais @MagufuliJP amekuwa kama Yesu Kristo, Watanzania wanamlilia na kumfuata na ndiyo maana hata aliponitengua nilisema, ulinipa heshima ya huu Uwaziri na leo umeutwaa, jina la Magufuli libarikiwe" -Kangi Lugola. https://t.co/oj5Fe0vJh9

Rais John Magufuli ni lulu ya Watanzania, Mheshimiwa Magufuli amejenga heshima ya Taifa hili na ndio maana liko kwenye kilele cha juu cha kutenda haki machoni mwa Watanzania - Kangi Lugola. #HATUCHUJI #KwanzaHabari https://t.co/hjT17j22wL
Yani watu wanapitiliza ,na wanamharibia sana Mwenyekiti wao ,shauri zao ngoja ipo siku watajua wamemharibia
Yan et unakuta mtu anapendekeza jina lake lihitwe mji,si niukosefu wa ubunifu na bahati nzuri alikataa ,mimi nafikili mtu kama ametenda jema ipo siku hata asipokua madarakani wengine wataona umuhimu wa kufanya hivyo.
Hata hivyo binafsi achana na mambo yote hata kama yapo mapungufu kwa MAGU
kwa sababu ni binadam.
Ila nitamkumbuka kwa moja tu maishani mwangu KUHAMISHA MAKAO MAKUU KUJA DODOMA ila kuhusu kura yangu nasubili ilani za vya nizipitie ikiwemo na ya ccm alafu na nondo binafsi toka kwa mgombe ndo niamue nani nimpe kula yangu.kura yangu ni almasi mwaka huu simpi mtu kura kama ujanishawishi
 
Habar za biblia hazitafasiliwi vyepesi namna hiyo. Hapo alitaka kutuelezea tu uhusiano uliopo Kati yetu sisi wanadamu na yeye Muumbaji.

Wewe umesema Yesu hawezi kufananishwa na kiumbe chochote, sasa yeye mwenyewe anakusuta kwa kujifananisha na ("kiumbe-mti") mti wa mzabibu na hapohapo akawafananisha Wanafunzi wake kama matawi ya huo mzabibu (yeye).
(Yohana 15:5)

Sasa utasemaje Yesu hawezi kufananishwa na kiumbe??!!, mzabibu sio kiumbe??, tena kiumbe hai??!!.

Unapokuwa unaandika jambo hadharani yakupasa utafakari kabla ili usijesutwa udanganyifu.

Sehemu nyingine Yesu kajifananisha na "njia ya ukweli na uzima" mtu haendi kwa baba yake (Mungu) ila yampasa apitie katika njia hiyo ambayo ndiyo Yesu.---- halafu unakuja hapa na maneno mbofu -mbofu eti Yesu hawezi kufananishwa na kiumbe chochote??!!.

Soma Biblia ndugu na Qur'an ili upate kumjua Mungu wa kweli na elimu ya dini.
 
Uzuri huku kwenye imani hii hakuna nongwa kihivyo, mambo yote yanamsubiri siku ya hesabu...kama alikosea atalipwa anachostahili, kama hajakosea basi.

Asijichanganye tu akamtaja yule Kiongozi wa imani ya kule upande wa pili, mamaa mamaa mamaa mamaa mamaa mamaa.
 
Si amemsamehe.Yaani kwa sasa kila mtu amabye hayuko upinzani anajiuliza anatokaje ili anayefananishwa na Yesu amwone.Njaa mbaya jamani mimi nimemwomba sana Mungu nisifikie hapo ni udhalilishaji na dhihaka kumfananisha binadamu mwenzako na Yesu
Huku ni kumkebehi na si kumsifia wanayedhani wanamsifia.
 
Andengenye ameomba msamaha

Sasa ni zamu yake

Kesi ya kuhujumu uchumi si ya kitoto
"Rais @MagufuliJP amekuwa kama Yesu Kristo, Watanzania wanamlilia na kumfuata na ndiyo maana hata aliponitengua nilisema, ulinipa heshima ya huu Uwaziri na leo umeutwaa, jina la Magufuli libarikiwe" -Kangi Lugola. https://t.co/oj5Fe0vJh9

Rais John Magufuli ni lulu ya Watanzania, Mheshimiwa Magufuli amejenga heshima ya Taifa hili na ndio maana liko kwenye kilele cha juu cha kutenda haki machoni mwa Watanzania - Kangi Lugola. #HATUCHUJI #KwanzaHabari https://t.co/hjT17j22wL
 
*Tanzania yenye Wakristo, Waislamu, Marastafarai, Wahindu na Wapagani kwa umoja wao wote wanaongozwa na Yesu Kristo*
 
Hawa ndo wabunge tunaotegemea hoja zao na maamuzi yao yatufikishe Uchumi wa kati na Tanzania ya Viwanda!.. MUNGU IBARIKI TANZANIA,,MUNGU IBARIKI AFRIKA ,,,Baba wasamehee maana hawajui walitendalo
 
Hawa watu dawa yao wapate mapigo matakatifu ndio hofu ya Mungu iwajie...

Ila Mungu banaaa, hapangiwi..
Hayo mapigo unashangaa napata mimi nisie na hili wala lile..
Watu waovu uishi miaka mingi,Bali wema Mungu uwachukua wakamtumikie
 
Aggrey Mwanri Aliwahi kusema Mungu amshukuru Magufuli pona yake alikuja kuomba msamaha sasa huyu sijui Mungu hadhihakiwi kama ni njaa na uchu wa madaraka tusimuhusishe Mungu kwenye ujinga wetu
 
"Wakati wa Baba wa Taifa, kadi ya CCM ilikuwa na uzito kuliko passport au degree ya chuo kikuu, tulifuta ujinga tukiwa na chuo kikuu kimoja, lakini sahizi tuna vyuo vikuu zaidi ya 50 ila tuna wajinga wengi" -Dkt Benson Bagonza

Wakristo wanaamini Yesu ni mtoto wa Mungu. Pia kwenye THEOLOGY ya Kikristo kuna kitu kinachoitwa THE TRINITY, kwamba Mungu ni 1 lakini ni Baba, Mtoto (Yesu) na Roho Takatifu. Hii tabia ya KUTUKUZA Binadamu mwenzako mpaka ukamwita MUNGU ni ya KUSHITUSHA na KUHUZUNISHA!

Anyway Kuna Kusifia Sawa lakini hii ya Kangi mbona imepitiliza sana?

Yaani Chini Ya Jua Kuna Binadamu tunamfananisha na Yesu Kristo? Kweli?

Hapana, Endeleeni Kumlazimisha ila sio Kumsifia hivi ni Makufuru Makubwa.

Mr mkiki.
 
Hivi watanzania ule utaratibu wetu wa kuapa kwa vitabu vya Mungu tunaushika kweli?
Mbona haya yanatokea na hakuna anaediriki kusema?

Yesu kristo Ni mwokozi wetu sore tulioamua kumfata na hafananishwi na binadamu.

Tunakoelekea ni kubaya kuliko tunakotoka.

Mwanaume unamsifu mtu kiasi cha kumfananisha na Mungu kweli?
 
"Wakati wa Baba wa Taifa, kadi ya CCM ilikuwa na uzito kuliko passport au degree ya chuo kikuu, tulifuta ujinga tukiwa na chuo kikuu kimoja, lakini sahizi tuna vyuo vikuu zaidi ya 50 ila tuna wajinga wengi" -Dkt Benson Bagonza

Wakristo wanaamini Yesu ni mtoto wa Mungu. Pia kwenye THEOLOGY ya Kikristo kuna kitu kinachoitwa THE TRINITY, kwamba Mungu ni 1 lakini ni Baba, Mtoto (Yesu) na Roho Takatifu. Hii tabia ya KUTUKUZA Binadamu mwenzako mpaka ukamwita MUNGU ni ya KUSHITUSHA na KUHUZUNISHA!

Anyway Kuna Kusifia Sawa lakini hii ya Kangi mbona imepitiliza sana?

Yaani Chini Ya Jua Kuna Binadamu tunamfananisha na Yesu Kristo? Kweli?

Hapana, Endeleeni Kumlazimisha ila sio Kumsifia hivi ni Makufuru Makubwa.

Mr mkiki.
Wote wapo kwenye makosa. Ila kosa la Wakristo kusema UTATU na kusema YESU ni Mungu au mwana wa Mungu ni kosa kubwa sana kuliko hilo la huyo aliye mfananisha na binadamu.
 
" Tunapokuwa na Rais wa namna hii [kama Rais Magufuli] hatuhitaji tena kuingia kwenye mjadala wala michakato ya kutafuta Rais mwingine, kwa sababu huyu Rais wa Watanzania tayari amekwisha patikana ."- Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM)

Kwa hiki ni Matuamini yangu makubwa Mzukulu kuwa Msamaha utakubalika haraka sana na huenda hata akafikiriwa upya katika Uwaziri ujao.
 
Back
Top Bottom