Kangi Lugola unakumbuka ulivyomdhalilisha Kamishna wa Magereza aliyechelewa kikao chako?

Kangi Lugola unakumbuka ulivyomdhalilisha Kamishna wa Magereza aliyechelewa kikao chako?

Mkuu sijakuelewa vizuri,ufafanuzi kidogo
Mara nyingi kama sio zote, wanaopenda kutesa wenzao hua ni watu waoga sana.
Utakua unajua maana ya bully. Mnyanyasaji na maana ya coward muoga au dhaifu
FaizaFoxy nisaidie kutafsiri bully na coward
 
Madaraka yanahitaji hekima vinginevyo kuaibika ni suala la muda tu

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Muombe Mungu sana akupe hekima hasa unapoinuliwa; shetani anatumia sana nafasi hiyo kukufanya uwe na KIBURI; Pajapo kiburi huja aibu neno la Mungu linasema hivyo
 
Uwaziri uwe proffessional, watu waombe kazi kama taaluma ; wapewe kwa vigezo sio kwa ubunge
Haya mambo ndo yalikuwa yamependekezwa kwenye rasimu ya katiba mpya, mchakato ulipofia haijulikani pamoja ya kutumia mabilioni ya pesa za walipa kodi, hii nchi ngumu sana..
 
Back
Top Bottom