Kangi Lugola: Watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi ni Mitego ya kifo. Kwani wanaokufa wakifanya mapenzi mnachoma Kitanda?

Kwa majibu haya Watanzania tujiandae kufa "premature" tukiwa mikononi mwa Polisi
 
Mbona hajazungumzia yule aliepangiwa kufa kwa sababu ya kuparanganyishwa na mkewe? au siku hizi mkewe hajatumwa akatembee nje ya ndoa?
 
Duuuh, kaz juu ya kazi huku kichaa palee ninja
 
Mtu unaweza fia popote
Kwa mwaka wanao udhuria
Kwa makanisa na misikiti
Idadi ni kubwa kuzidi
Ya wale wanaoudhuria
Police station
Ila idadi ya wanaofia
Police station
Ni kubwa
Kuna nn huko wanako hudhuria
Wacheche wakapoteza Maisha
Kuzidi sehemu wanako hudhuria
Wengi
Kweli kiza kinene endeleeni kutupaka
Ukungu
 
Mtu anaweza kufa akiwa polisi, akiwa anafanya mapenzi, anaweza akafa akiwa kwenye gari anasafiri na aweza kufia hata humu Bungeni kwahiyo isije ikachukuliwa kwamba nayefika kituo cha polisi ni kwamba ameteswa

Kwa mateso anayofanyiwa na nani
 
Katika siku za hivi karibuni kumetokea tabia mbaya na chafu na ovu kabisa ya Mahabusu kufia kwenye vituo vya Polisi. Mahabusu wanapelekwa wanapata mateso yanayopelekea vifo vyao, kuna baadhi ya jamii zimekataa kuchukua maiti kwenda kuzizika

Kangi Lugola: Mwananchi kufa, anakufa wakati wowote na mahali popote . Sijui kwenye Quran lakini kwenye Biblia ukisoma Muhubiri 9:12 kifo ni mtego, kifo humnasa mtu wakati wowote na mahali popote

Mtu anaweza kufa akiwa polisi, akiwa anafanya mapenzi, anaweza akafa akiwa kwenye gari anasafiri na aweza kufia hata humu Bungeni kwahiyo isije ikachukuliwa kwamba nayefika kituo cha polisi ni kwamba ameteswa

Lakini nikiri kuwa kuna matukio ya Watu kufia mikononi mwa Polisi, na pale ambapo matukio hayo yanajitokeza huwa tunafanya uchunguzi na ikibainika Polisi wanahusika huwa tunachukua hatua

> Na ndio maana tunawazuia wananchi wasichukue sheria mkononi na kwenda kuchoma kituo cha polisi. Mbona huyu anayefia akifanya mapenzi mbona hawaendi kuchoma kitanda?

Na fikiri hawa mawaziri wa magufuli hawakuona ndani ya darasa. unaweza aje wewe kaa waziri kujibu swali namna hio, hata mtoto wa kindergarten anaweza fikiria poa kukuliko bwana waziri.sijui ulipata aje hio nafasi ya uwaziri
 
Katika siku za hivi karibuni kumetokea tabia mbaya na chafu na ovu kabisa ya Mahabusu kufia kwenye vituo vya Polisi. Mahabusu wanapelekwa wanapata mateso yanayopelekea vifo vyao, kuna baadhi ya jamii zimekataa kuchukua maiti kwenda kuzizika

Kangi Lugola: Mwananchi kufa, anakufa wakati wowote na mahali popote . Sijui kwenye Quran lakini kwenye Biblia ukisoma Muhubiri 9:12 kifo ni mtego, kifo humnasa mtu wakati wowote na mahali popote

Mtu anaweza kufa akiwa polisi, akiwa anafanya mapenzi, anaweza akafa akiwa kwenye gari anasafiri na aweza kufia hata humu Bungeni kwahiyo isije ikachukuliwa kwamba nayefika kituo cha polisi ni kwamba ameteswa

Lakini nikiri kuwa kuna matukio ya Watu kufia mikononi mwa Polisi, na pale ambapo matukio hayo yanajitokeza huwa tunafanya uchunguzi na ikibainika Polisi wanahusika huwa tunachukua hatua

> Na ndio maana tunawazuia wananchi wasichukue sheria mkononi na kwenda kuchoma kituo cha polisi. Mbona huyu anayefia akifanya mapenzi mbona hawaendi kuchoma kitanda?

Du waziri tunae
 
Ningekuwa raisi waTanzania watukama lugola hawafai hata ujumbe wa nyumba kumi
 
"Mtuhumiwa alijaribu kutoroka alipokua anaenda kuonesha alipoficha silaha, alipigwa risasi ya mguu na amefariki akiwa njiani anapelekwa hospitali"
 
Ukifanya majumuisho ya kauli za ziara ya Rais majuzi na pia kauli za mawaziri ziarani humo na majibu yao Bungeni unapata hitimisho kuwa hakuna umakini wala ukweli katika kauli zao bali ni usanii tuu bora siku ziende.
Mfano kauli ya Kangi Lugola kuhusu RAIA kupigwa na kufa vituo vya Polisi ni kauli ya aibu kwa serikali na ilipaswa ajitoe kazini kabisa!
 
Orodhesha kauli unazodhani zinatia shaka ili tukupe ufafanuzi maana inawezekana uwezo wako wa kufikiri ndio mdogo.
 
kangi. lugola ana. kazi. kubwa. sana ya. kusafisha. jeshi. la. polis. polis. wanaongoza. kutenda. kinyume. na. sheria hasa wakati. wa uchaguzi kwa wapinzani.
 
Back
Top Bottom