Cliffhanger
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 721
- 1,293
Kwa majibu haya Watanzania tujiandae kufa "premature" tukiwa mikononi mwa Polisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu anaweza kufa akiwa polisi, akiwa anafanya mapenzi, anaweza akafa akiwa kwenye gari anasafiri na aweza kufia hata humu Bungeni kwahiyo isije ikachukuliwa kwamba nayefika kituo cha polisi ni kwamba ameteswa
Katika siku za hivi karibuni kumetokea tabia mbaya na chafu na ovu kabisa ya Mahabusu kufia kwenye vituo vya Polisi. Mahabusu wanapelekwa wanapata mateso yanayopelekea vifo vyao, kuna baadhi ya jamii zimekataa kuchukua maiti kwenda kuzizika
Kangi Lugola: Mwananchi kufa, anakufa wakati wowote na mahali popote . Sijui kwenye Quran lakini kwenye Biblia ukisoma Muhubiri 9:12 kifo ni mtego, kifo humnasa mtu wakati wowote na mahali popote

Lakini nikiri kuwa kuna matukio ya Watu kufia mikononi mwa Polisi, na pale ambapo matukio hayo yanajitokeza huwa tunafanya uchunguzi na ikibainika Polisi wanahusika huwa tunachukua hatua
> Na ndio maana tunawazuia wananchi wasichukue sheria mkononi na kwenda kuchoma kituo cha polisi. Mbona huyu anayefia akifanya mapenzi mbona hawaendi kuchoma kitanda?

Kumbuka ungekua kichaaNingekuwa raisi waTanzania watukama lugola hawafai hata ujumbe wa nyumba kumi
Hivo ukiwa kichaa huyo utaona anafaa kuwa waziri mkuu kabisa
Endeleeni kuwashangiliaMh bado sikubaliani na hoja ya Kangi.
Unashangaa vichaa wenzakoDuh!
Endeleeni kuwashangilia
Nilichokiandikia ndo nilichokimaanishaUnaelewa ulichoandika au umevimbiwa Cabbage na Uji?
Orodhesha kauli unazodhani zinatia shaka ili tukupe ufafanuzi maana inawezekana uwezo wako wa kufikiri ndio mdogo.Ukifanya majumuisho ya kauli za ziara ya Rais majuzi na pia kauli za mawaziri ziarani humo na majibu yao Bungeni unapata hitimisho kuwa hakuna umakini wala ukweli katika kauli zao bali ni usanii tuu bora siku ziende.
Mfano kauli ya Kangi Lugola kuhusu RAIA kupigwa na kufa vituo vya Polisi ni kauli ya aibu kwa serikali na ilipaswa ajitoe kazini kabisa!
Punguza mahaba mkuuOrodhesha kauli unazodhani zinatia shaka ili tukupe ufafanuzi maana inawezekana uwezo wako wa kufikiri ndio mdogo.