mtoto mdogo sana
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 460
- 1,341
Paragraph ya mwisho Imeharibu riwaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PeTRol imepanda uko. Saivi watu kuzimu wanashangilia Tu maana Mungu amepunguza makali ya moto🤣🤣🤣🤣 itakua vizuri tukipata huo mrejesho tujue kama petroli imepanda pia huko motoni
kila mmoja wetu alikuwa anapongezwa kuwa amepata mtu sahihi hasa na watu wazima wenye miaka zaidi ya 40.
Kama sababu kuu ni huyo mzee ambaye anasema haachiki wewe endelea na msimamo wako na siku unayompiga chini wataarifu hao ndugu zake kuwa mmemalizana kila mtu ashike 50 zake huruma muachie Papa Benedict.
Kama kweli anakupenda aachane na huyo babu kwanza.
Huyo roho ya mauti inamsumbua inawezekana alishakufa tayar kwenye ulimwengu wa roho so anataka akamilishie kifo cha mwili kwako halafu zigo akutupie wewe kua ndio msababishaji wakati alikua kashakufa long time.
Mkimbie huyo mwanamke
Sasa, baada ya mwaka kupita. Kuna wakati niligundua yupo na mahusiano na mzee mmoja, alikiri kuwa ni kweli alikuwa na maahusiano na huyo mzee hata kabla yangu ila mzee ndio aachiki. Nikaona isiwe case, Baada ya kuongea nae sana nikamwambia"
Huyo mzee si aachiki. Endelea kuwa nae, its Over".
Yule Mzee kaachananae au bado munashea?
Acha ujinga weye anakuoenda vipi wakati alikuwa anagegwdwa nje huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu umeonyesha udhaifu mkubwa sana. Mwanamke akishacheat na kukubali huyo sio wakurudiana nae bro. Wee unaachana nae basi ajinyinbe asijinyonhe hayo ni maamuzi yake mwenye lakini mwanaume wa kweli kamwe hawezi kumrudia mwanamke ambaye amekiri kucheat
Personally siwezi kudate na mtu anayetaka kujiua. Kama unaweza kukatisha maisha yako mwenyewe unashindwa nini kuniua nikukuudhi siku moja?
Hao watu wenye suicidal ideas wanatakiwa kuwa Mirembe wanatibiwa sio kuwa kwenye mahusiano.. siku utatolewa roho wewe halafu utakuja kutuma mrejesho kutoka huko afterlife.
Eti "mzee haachiki" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We tangu lini uliona pesa inaachika?
Wanasema mtu anaejaribu kujiua akaokolewa ipo siku tu atafanikiwa, sijui huwa ni roho ya mauti inawaandama!
Kipi ww unataka kwake unataka kumuacha sababu hisia za mapenzi zimetoka kwake au unataka kumuacha sababu alitembea na Mzee? Alishawai kukucheti na mtu mwingine zaidi ya uyoo Mzee vp anakisikiliza na kukuheshimu vp Mzee walishaachana au ndyo kashindwa kumuacha Labda nikwambie Tu kama hujaowa na unafikiria kuowa Rudisha hisia Kwa uyuu dada sahau ya nyuma na songa naye mbele Ila Tu kama Hana tabia za kiburi umalaya au Hana heshima na labda mama yeke ni single Maza ndyo achana naye Ila kama ni ana heshima anakisikiliza na anakupenda muowe utakuja nishukiru badayeTayari walishaachana nae....Na kama nitakuwa sijaeleweka, anasema mimi nilimkuta na huyo mzee. Kwa lugha nyepesi, basi kwa wakati huo ni kama yeye alikuwa ana-mcheat huyo mzee.
Sasa kama hakukwambia ukweli sii tayari kuna dosari hapoBasi kama andiko langu halijaeleweka, alikiri kuwa alikuwa na mahusiano na huyo mzee hata kabla ya kuwa na mimi....ila hakuniambia ukweli wakati tunaingia katika mahusiano.
Mikwara tu hio!
Kumbe we ni mchepuko, huyo mzee asiyeachika ndo njia kuu....alikiri kuwa ni kweli alikuwa na maahusiano na huyo mzee hata kabla yangu ila mzee ndio aachiki.