Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Umeniwahi nilitaka niseme hivyo [emoji3][emoji3]Wanaotaka kujiua hua hawatangazi, wanajifanyia yao kimya kimya
Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeniwahi nilitaka niseme hivyo [emoji3][emoji3]Wanaotaka kujiua hua hawatangazi, wanajifanyia yao kimya kimya
Vipi huyo mzee wameshaachana??
Kama ana kila kitu kama pesa na kwao pesa ipoo na wewe unamuhudumia kila kitu ..... Unahisi kwanini yupo na huyo mzee? Au mzee ndio mkunaji mzuriiii?? Na wewe umependewa kuuzia sura
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Katika kauli ambazo wanawake hawatanii ni hiyo ya kujiua. Yalitaka kunikuta makubwa.
Paragraph ya mwisho Imeharibu riwaya.
Huyo hakupendi anampenda Mzee wake achana naye.
Sasa si umuache ili ajiue..ajipunguze kwanza tumezidi kua wengi
Siku nyingine atakulisha wewe sumu,kimbia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Binafsi huwa siamini kila kauli inayotoka kwa mwanamke,
Huwa nawasikiliza tu
Mtu wa hivi sio wa kuoa.Personally siwezi kudate na mtu anayetaka kujiua. Kama unaweza kukatisha maisha yako mwenyewe unashindwa nini kuniua nikukuudhi siku moja?
Hao watu wenye suicidal ideas wanatakiwa kuwa Mirembe wanatibiwa sio kuwa kwenye mahusiano.. siku utatolewa roho wewe halafu utakuja kutuma mrejesho kutoka huko afterlife.
Kila siku nasema humu mabraza wa miaka 40 wakishauri usipuuze hehehehehe.. Huyo bado ni mtu sahihi sana kwako.
Mabraza wa miaka 40 walipokutana na wazungu walisema The grass is not greener on the other side.
Enzi zile sijayajua mapenzi ndio nilikuwa naziamini hizi kauli za nitajiua
Kipi ww unataka kwake unataka kumuacha sababu hisia za mapenzi zimetoka kwake au unataka kumuacha sababu alitembea na Mzee? Alishawai kukucheti na mtu mwingine zaidi ya uyoo Mzee vp anakisikiliza na kukuheshimu vp Mzee walishaachana au ndyo kashindwa kumuacha Labda nikwambie Tu kama hujaowa na unafikiria kuowa Rudisha hisia Kwa uyuu dada sahau ya nyuma na songa naye mbele Ila Tu kama Hana tabia za kiburi umalaya au Hana heshima na labda mama yeke ni single Maza ndyo achana naye Ila kama ni ana heshima anakisikiliza na anakupenda muowe utakuja nishukiru badaye
Sasa kama hakukwambia ukweli sii tayari kuna dosari hapo
Kumbe we ni mchepuko, huyo mzee asiyeachika ndo njia kuu..
Ww kubali tu yaishe, uwe mchepuko wa kudumu ila usiwe unasahau mafuta!
Mtu wa hivi sio wa kuoa.
Maneno huumba. Kifo cha huyu Binti kitakuja kutokea kwa kujiua, kama si yeye basi mtoto wake. Jinsi anavyojinuia anajitengenezea memory isiyoonekana kwenye ubongo wake, hivyo kuna siku akili yake itamwambia anywe sumu. Na kwenye familia mtu akijiua, tukio hilo huwa linakuja kujirudia tena kwenye kizazi chake baada ya miaka kadhaa.
Wee muache anywe sumu mzeya wala sio kosa lako.Hii dosari ndiyo ilinifanya nimuache wakati ule...Ndipo akachukia hatua ya kunywa sumu.
Fanya namna yeye ndio akuache ila ukweli utabaki kwako kuwa ulianza kumuacha kabla yake.
Mpige matukio hadi anyanyue mikono juu kama yule bwana kwenye chupa ya konyagi
Wee muache anywe sumu mzeya wala sio kosa lako.
Ni swala la kuongea naye na kumrekebisha wanawake umri unapozidi kwenda wanaogopa kuachana na mtu waliyekaanaye kwenye mahusiano naye Kwa kipindi kirefu alafu kama anakuelewa snaa anapata hofu snaa wangu ambaye Niko naye Hadi sasa nilimkuta na mtu hakuniambia bdyee niligundua alileta tabia kama ya mtu wako Ila tuliyaweka sawa na saivi tunafamilia maisha yanakwenda powa na sijawai kuhisi kunicheti toka kipindi icho Hadi Leo kwenye dunia ya sasa kumpata atakaye kuelewa na kukupenda Kwa dhati bila kuweka pesa mbele aisee ni ngumu sanaSababu kubwa ni hii roho yake ya kufanya majaribio ya kujiua pale tunapopishana. Japo, Nikiri kusema: Ananipenda, ananiheshimu, na hana tabia za umalaya na nyingine mbaya(Ukitoa hiyo issue ya kujiua, mapungufu yake ni ya kibinadamu tu)