Kaniahidi na kujiapiza kuwa nikimuacha anajiua

N.B: Huyu mwanamke anakila kitu, ametoka familia ya watu wenye pesa, ana maisha mazuri.

Hii sentence ifikiriwe vizuri tafadhali
 
Sasa si umuache ili ajiue..ajipunguze kwanza tumezidi kua wengi
 
🤣🤣🤣🤣 itakua vizuri tukipata huo mrejesho tujue kama petroli imepanda pia huko motoni
PeTRol imepanda uko. Saivi watu kuzimu wanashangilia Tu maana Mungu amepunguza makali ya moto
 
Binafsi huwa siamini kila kauli inayotoka kwa mwanamke,
Huwa nawasikiliza tu
 
kila mmoja wetu alikuwa anapongezwa kuwa amepata mtu sahihi hasa na watu wazima wenye miaka zaidi ya 40.

Kila siku nasema humu mabraza wa miaka 40 wakishauri usipuuze hehehehehe.. Huyo bado ni mtu sahihi sana kwako.

Mabraza wa miaka 40 walipokutana na wazungu walisema The grass is not greener on the other side.
 

Asante kwa ushauri, Mkuu
 

Mzee ndio alikuwa anawalea,, na wewe upo hapo sababu ya hivo vijipesa vyake unavyodai anavyo....

Grow up Mzee,, Jifunze kujitegemea.
 
Yule Mzee kaachananae au bado munashea?

Tayari walishaachana nae....Na kama nitakuwa sijaeleweka, anasema mimi nilimkuta na huyo mzee. Kwa lugha nyepesi, basi kwa wakati huo ni kama yeye alikuwa ana-mcheat huyo mzee.
 

Basi kama andiko langu halijaeleweka, alikiri kuwa alikuwa na mahusiano na huyo mzee hata kabla ya kuwa na mimi....ila hakuniambia ukweli wakati tunaingia katika mahusiano.
 

Kuna jambo kubwa sana, nimelichukua katika hii comment.
 
Enzi zile sijayajua mapenzi ndio nilikuwa naziamini hizi kauli za nitajiua
 
Eti "mzee haachiki" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We tangu lini uliona pesa inaachika?

Wanasema mtu anaejaribu kujiua akaokolewa ipo siku tu atafanikiwa, sijui huwa ni roho ya mauti inawaandama!

Hii roho ni mbaya sana....Nilikuwa natamani hata ikitokea siku amejiua basi hatia au sababu isibaki katika mikono yangu.
 
Tayari walishaachana nae....Na kama nitakuwa sijaeleweka, anasema mimi nilimkuta na huyo mzee. Kwa lugha nyepesi, basi kwa wakati huo ni kama yeye alikuwa ana-mcheat huyo mzee.
Kipi ww unataka kwake unataka kumuacha sababu hisia za mapenzi zimetoka kwake au unataka kumuacha sababu alitembea na Mzee? Alishawai kukucheti na mtu mwingine zaidi ya uyoo Mzee vp anakisikiliza na kukuheshimu vp Mzee walishaachana au ndyo kashindwa kumuacha Labda nikwambie Tu kama hujaowa na unafikiria kuowa Rudisha hisia Kwa uyuu dada sahau ya nyuma na songa naye mbele Ila Tu kama Hana tabia za kiburi umalaya au Hana heshima na labda mama yeke ni single Maza ndyo achana naye Ila kama ni ana heshima anakisikiliza na anakupenda muowe utakuja nishukiru badaye
 
Basi kama andiko langu halijaeleweka, alikiri kuwa alikuwa na mahusiano na huyo mzee hata kabla ya kuwa na mimi....ila hakuniambia ukweli wakati tunaingia katika mahusiano.
Sasa kama hakukwambia ukweli sii tayari kuna dosari hapo
 
..alikiri kuwa ni kweli alikuwa na maahusiano na huyo mzee hata kabla yangu ila mzee ndio aachiki.
Kumbe we ni mchepuko, huyo mzee asiyeachika ndo njia kuu..
Ww kubali tu yaishe, uwe mchepuko wa kudumu ila usiwe unasahau mafuta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…