Kaniambia ana ujauzito wangu wakati sijawai kulala nae

Kaniambia ana ujauzito wangu wakati sijawai kulala nae

Ombudsman

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2012
Posts
3,565
Reaction score
3,733
Habarini,

Nimekuja kuomba ushauri kwenu wana jamvi wenzangu.

Nimekua kwenye uhusiano na binti mmoja kwa miaka miwili sasa na sijawai kumuingilia kimwili kwasababu alisema hawezi hadi tufunge ndoa.

Lakini nashangaa jana ananipigia simu na kuniambia anajihisi ni mjamzito.
Mimi nimemwambia amwambie aliempa hiyo mimba akajibu mimi ndio niliempa.

Naombeni ushauri wenu
 
ndio sijawai kulala nae ila mambo mengine nimewai kufanya
taja hayo mambo mengine ambayo umewahi kufanya ili tuone reality ilipo?. Kama hujawahi kulala naye basi atakuwa alikuota kuwa mmelala na ndpo roho mtakatifu akamalizia kuhakiki uhalisia. Kwahiyo ww ndiye mhusika kwa Imani ya Roho Mtakatifu aliyekuwa nae, endeleeni kulea uja uzito ama yataje hayo mambo ili nikupe ushauri mwngne!
 
Acha mambo ya ajabu wewe hapa hakuna ushauri maana jibu unalo sasa ushauri wa nini?
 
Hebu msaidie mwenzio kulea mimba, ukipenda boga penda na ua lake
 
Nahisi kama utakubali vile
Nawaza tu.

Sasa wewe mtoto hujawahi kulala nae unaogopa nini.

Kuna vitu vinashangaza sana
 
Mtumiaji wa mtandao kwa zaidi ya miaka 10-20 hawezi kuwa sawa na hawa walionza kutumia internet kwenye smart phone za tecno mwaka jana if you know what I mean
matumizi ya mtandao na huu uzi unaendana vipi??
 
Back
Top Bottom