Kaniambia ana ujauzito wangu wakati sijawai kulala nae

Kaniambia ana ujauzito wangu wakati sijawai kulala nae

Wewe sio wale wanaosema sitoingiza ntaishia juu? Leo unataka kujitetea nn?ebu kawadanganye watoto wenzio
 
Heeee.....sasa hapa unataka ushauri gani mbona issue iko wazi,

ww utakua kavulana!
 
Inawezekana. Mfano wakati unamchezea iwapo uligusa uume afu manii zikanata kwe kidole ukasokomeza kwe papuchi unategemea nini?

Kuna mtoto alishawahi ambukizwa mimba kupitia swimming poll, google utakuta habari ka izo.
 
Acha ufala wewe! Hujalala nae alafu kakwambia hivyo na wewe unaumiza kichwa? Una akili kweli wewe?
 
Habarini,

Nimekuja kuomba ushauri kwenu wana jamvi wenzangu.

Nimekua kwenye uhusiano na binti mmoja kwa miaka miwili sasa na sijawai kumuingilia kimwili kwasababu alisema hawezi hadi tufunge ndoa.

Lakini nashangaa jana ananipigia simu na kuniambia anajihisi ni mjamzito.
Mimi nimemwambia amwambie aliempa hiyo mimba akajibu mimi ndio niliempa.

Naombeni ushauri wenu
Idiot
 
Back
Top Bottom