Hv kwa nini usiwe mkweli?? Hv kweli unaweza ukapiga katerero haf baaaaaaaaaaaaaaaaaaassssss?????????natumia vidole na ulimi mara chache sana hua nampiga katetero
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hv kwa nini usiwe mkweli?? Hv kweli unaweza ukapiga katerero haf baaaaaaaaaaaaaaaaaaassssss?????????natumia vidole na ulimi mara chache sana hua nampiga katetero
Hiyo mimba ni yako mkuu!!!!
Ila kuna uvumilivu mimi sinaga labda nitaufanya kwa mke...katerero na hauingizi!????? congrats bro...
mtoto akizaliwa wa kume muiteni 'Mentor' akizaliwa wa kike 'Becky' !!!
When withdraw fails... Hii story yako kama usingeweka hiyo part 2 ya katerero ingekuwa poa sana... by the way mwanamke hataki mgegedane hadi ndoa wakati huo huo hawezi kuzuia nyege teheee.. Au mnafkiri kutiana vidole na katerero sio zinaa???
Atakuwa Mhaya huyu. Wana matatizo makubwa sana na irabu za Kiswahili na kikanushi h- hata wasome vipi. Ni mkanganyiko tupu. Wakora mukazi wange. Ija nkuchuge bojo!Hili hamu hiishe??
Wewe jamaa ni mtanzania kweli? Ulisoma kiswahili miaka saba kabisa primary school? Kweli?
Hayo uliyofanya naye yanaweza kusababisha mimna kuingia?ndio sijawai kulala nae ila mambo mengine nimewai kufanya
mkuu labda yesu wa pili anataka kuzaliwaa hapoo ...acha jamaa awe baba mrithitaja hayo mambo mengine ambayo umewahi kufanya ili tuone reality ilipo?. Kama hujawahi kulala naye basi atakuwa alikuota kuwa mmelala na ndpo roho mtakatifu akamalizia kuhakiki uhalisia. Kwahiyo ww ndiye mhusika kwa Imani ya Roho Mtakatifu aliyekuwa nae, endeleeni kulea uja uzito ama yataje hayo mambo ili nikupe ushauri mwngne!
Mkuu, wewe ni jipu, tena la utosini.Habarini,
Nimekuja kuomba ushauri kwenu wana jamvi wenzangu.
Nimekua kwenye uhusiano na binti mmoja kwa miaka miwili sasa na sijawai kumuingilia kimwili kwasababu alisema hawezi hadi tufunge ndoa.
Lakini nashangaa jana ananipigia simu na kuniambia anajihisi ni mjamzito.
Mimi nimemwambia amwambie aliempa hiyo mimba akajibu mimi ndio niliempa.
Naombeni ushauri wenu
Kila amwangaliae mwanamke kwa kumtamani ameshazini juu yake..... Sembuse kugusanisha vikojoleo kabisa....Lile neno ukiwaza moyoni umekwisha tena hawalijiu hawa
Amepata hivyo hivyo!ata kama ni yangu swali ni amepataje??
ndio sijawai kulala nae ila mambo mengine nimewai kufanya
Habarini,